Uko mkoa gani?Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
Kivipi mkuuIshu ya CD kwa sahv inaelekea mwisho chunga usije ukapoteza pesa zako wekeza kwenye vitu vinavyoendana na wakati