Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,640
I think I am able to decipher what the problem is. Huyu Musiba nadhani dark past, something bad has happenned in his life, kwake personally au kwa watu walio karibu naye. Nadhani ndicho wanachoita Wazungu skeletons in the closet.
Inaonekana kuna mambo ya aibu yametokea yake, sasa kwa hasira anawatafuta wengine waliofanya makosa ile kuwachafua majina yao.
Sasa, this is a late hour. Siwezi kuandika sana. Lakini nadhani unanielewa ninachosema.
Kwa hiyo Musiba aombe msamaha, aende na mke wake, ndugu, rafiki zake, wamuombe msamaha Membe.
Musiba ana matatizo ya binafsi. Nadhani he is doing the right things for the wrong reasons.
Ndio kawaida siku zote; yule mtu ambaye alikuwa mlevi, ndio anakuwa mstari wa mbele kuhubiri dhidi ya ulevi.
Ama sivyo sasa Membe will be guilty of having extreme views and extreme behaviour.
Opo passage katika Biblia inasema,"If you take a widow's raiment to pledge,you must return to her at nightfall,otherwise how will she sleep?" Ile verse sijui iko wapi: Leviticus au Deutoronomy.