Musiba anapaswa kumuomba msamaha Membe

Musiba anapaswa kumuomba msamaha Membe

I think I am able to decipher what the problem is. Huyu Musiba nadhani dark past, something bad has happenned in his life, kwake personally au kwa watu walio karibu naye. Nadhani ndicho wanachoita Wazungu skeletons in the closet.

Inaonekana kuna mambo ya aibu yametokea yake, sasa kwa hasira anawatafuta wengine waliofanya makosa ile kuwachafua majina yao.

Sasa, this is a late hour. Siwezi kuandika sana. Lakini nadhani unanielewa ninachosema.

Kwa hiyo Musiba aombe msamaha, aende na mke wake, ndugu, rafiki zake, wamuombe msamaha Membe.
Musiba ana matatizo ya binafsi. Nadhani he is doing the right things for the wrong reasons.

Ndio kawaida siku zote; yule mtu ambaye alikuwa mlevi, ndio anakuwa mstari wa mbele kuhubiri dhidi ya ulevi.

Ama sivyo sasa Membe will be guilty of having extreme views and extreme behaviour.
Opo passage katika Biblia inasema,"If you take a widow's raiment to pledge,you must return to her at nightfall,otherwise how will she sleep?" Ile verse sijui iko wapi: Leviticus au Deutoronomy.
Walinda legacy humu c ndo wanamjaza upepo, ngoja wamponze jamaa yao!!
 
Mbona umejikita sana katika kumuonea Musiba huruma? Watanzania tuna tatizo moja kubwa: kusahau mara moja makosa ya wadhalimu wetu na kuwasamehe.

We have the culture of impunity which we think is kindness, but kindness to those who hurt us the most?! This is the ignorance we’ve been fighting along with poverty and disease, let’s stop this!

Yupo wapi mwenzake Musiba waliokuwa wakitamba na kutesa watu, yule kijana katili Sabaya? Si ameachiwa hivi hivi wakati uovu wake unajulikana hata na watoto wadogo? Here’s where we fail Tanzania, compromising everything.

Musiba kama sio kifo cha Magufuli kimemfanya aache ufedhuli wake leo hii angekuwa anakula watu! Musiba ameumiza wengi sio Membe tu!

I am sure hiyo mali unayomwenea nayo huruma huyo fedhuli ameipata kinyemela wakati akiwa chawa wa dikteta Magufuli. Embu tuache ujinga wa kuwaonea huruma wezi!
Hakika umenena vema.

Tumekuwa jamii ya ajabu sana, yaani tunawaonea huruma waovu badala ya wanaodhulumiwa.

To sympathize with an evil character is taking part in the sheltering of elvilness.
 
Humu ndani mbona kumejaa chawa wa Musiba?

Mara asigombee kuwasikiliza viongozi wa dini mara Musiba amwombe radhi Membe..acheni kujipa kazi zisizo za kwenu mwacheni Musiba anyolewe kwa panga anajifanya ana kiburi.

Wacha aoneshwe kuwa hii nchi sio ya mama yake wala ukoo wake wala kambale.
Atanyooshwa hadi awe mdebwedo.
 
TO DAY SICHANGII MADA.
Wacha nitoe na mimi ya moyoni.

Tatizo la nyege bado ni janga kubwa kwa taifa hili!
Hivi mimi niwakupiga nyeto hadi nabusu ukuta kweli?¿[emoji23][emoji23]
Kwa hakika una tatizo la afya ya akili, bro tafuta matibabu au geukia dini yako
Hiyo nyeto yako balaa 😁
 
Back
Top Bottom