si kweli hata kidogo
Nimeikumbuka uzi wake uliokuwa unasema "sijawahi kupanda ndege....Nielimisheni."
Nimeikumbuka uzi wake uliokuwa unasema "sijawahi kupanda ndege....Nielimisheni."
haahahaaa,tuwekeeni huo uzi bana,naukumbuka vizuri sana
nimetafuta post zake nimezisoma zinachekesha sana ila ndio hivyo hatupo nae tena,pumzika unapostahili mkuu.
Nimeikumbuka uzi wake uliokuwa unasema "sijawahi kupanda ndege....Nielimisheni."
godoro-la-comfly said:Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.