Museveni's Son Muhoozi Promoted to Brigadier | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Museveni's Son Muhoozi Promoted to Brigadier

Discussion in 'International Forum' started by R.B, Aug 29, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,163
  Likes Received: 1,098
  Trophy Points: 280
  * Comment * * Col. Muhoozi Kainerugaba completed advanced military training in South Africa. Several army officers have been promoted to higher ranks and some redeployed in a reshuffle announced by President Yoweri Museveni Commander in Chief. Maj.Gen. Fred Mugisha formerly in charge of AMISOM peacekeeping group is the new Joint Chief of Staff while Brigadier Angina has been promoted to Maj Gen and appointed Chief of Staff Land Forces. Col. Muhoozi Kainerugaba has been promoted to Brigadier becoming the first commander of the Special Forces Command-SFC which has been expanded from a group. He is deputised by newly promoted Col. Sabiiti Muzeeyi. The SFC is now made two groups in charge of, protecting VIPs and another for combat operations. Muhoozi recently completed a prestigious military course in South Africa. The 22 weeks 'Executive National Security Programme' run at the South African National Defence College (SANDC) is usually undertaken by senior army officers from the rank of colonel and above. Some of the senior army officers in Uganda who have received similar training at the same college are Brigadier Paul Lokech, the commander of Uganda's contingent in Somalia, and Colonel Apollo Kasita Gowa, the commandant of Senior Command and Staff College Kimaka. Relevant Links * Muhoozi - Dad Is Not Grooming Me * Muhoozi Completes High Level Military Training * Some Facts On Recently Promoted Army Officers Muhoozi described the course as very intense. "You spend 22 weeks studying national security until it is coming out of your ears. This is advantageous because while here you study national security trends in Africa and seeing where Africa will be in the next few decades...."
   
 2. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Museveni anaendeleza usultani kwa kumpandisha vyeo mwanae, katika harakati za kutaka atawale milele.
  Muhoozi Keineruhanga 38 ambaye amejiunga na jeshi mwaka 1999 amechupa kwa spidi ya ajabu na kuzungushwa katika vyuo vya kijeshi UK USA Israel Egypt SA na Nigeria.
  Museveni ambaye ameng'ang'ania madarakani tangu mwaka 1986 hana dalili ya kuachia madaraka kwa vile anataka kugombea urais kwa kipindi kijacho.
  Katika kuendelea kujiakikishia kutawala milele alibadili katiba nakufuta kipengele kilichokuwa kinamtaka rais kuongoza mihula miwili ya miaka mitano mitano tu.
  Anatumia vyombo vya dola kukandamiza wapinzani wake wa kisiasa na kuhakikisha anawaweka jamaa zake kwenye nafasi nyeti za serikali kama ifuatavyo;
  Mke wake Janet ni mbunge na waziri mdogo wake Caleb Akwandwanaho alias Salim Saleh ni mshauri wake kati maswala ya kijeshi,shemeji yake Sam Kutesa ni waziri wa mambo ya nchi za nje,mwanae Natasha Karugilre ni mshauri wake pia.
  Hope Nyakairu jamaa yake na mke wa Museveni ni mshauri wa rais upande wa fedha Ikuru na Julias Karuhanga jamaa yake na Janet Museveni ni katibu myeka wa rais katika masuala ya kisheria.
  Pamoja na hayo Museveni ajue wakati utafika ataondoka pamoja na genge lake tena kwa aibu.
   
 3. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi hawa watu wa magharibi ni wanafiki?inakuaje Museveni anakandamiza demokrasia nchini kwake wala sijawahi kuwasikia wakimpiga bit?
   
Loading...