Ndo aliemuweka pale alipo. Urais wa M7 hauna maana kama si nyerere. Kuanzia mwaka 1973 miaka 2 tu tangu Amin aingie madarakani walishaweka kambi za maandalizi ya kijeshi huko kinguluira, morogoro na tabora tayari kwa kwenda kumuondoa Amini. Waliiba hela zetu pale BOT nakuzipeleka huko. (source. risala ya mseveni siku ya kifo cha kawawa)Kuna Siri gani kati ya Museveni na JKN? au ndo kukumbuka fadhila
Tukubali ama tukatae. Nyerere ni miongoni mwa viongozi bora kabisa katika historia ya Dunia hii. RIP Mwalimu Nyerere.
Tukubali ama tukatae. Nyerere ni miongoni mwa viongozi bora kabisa katika historia ya Dunia hii. RIP Mwalimu Nyerere.
Ndo aliemuweka pale alipo. Urais wa M7 hauna maana kama si nyerere. Kuanzia mwaka 1973 miaka 2 tu tangu Amin aingie madarakani walishaweka kambi za maandalizi ya kijeshi huko kinguluira, morogoro na tabora tayari kwa kwenda kumuondoa Amini. Waliiba hela zetu pale BOT nakuzipeleka huko. (source. risala ya mseveni siku ya kifo cha kawawa)
ilipofika mwaka 1977 nyerere alivunja EAC (jumuia ya Afrika mashariki) ili kuhalalisha vita.
Huyo ndo nyerere anayemsifia M7. Lakini kinachonishangazi ni kwa nini kanisa linataka kumfanya mwenye heri. kwani inahusiana nini na uongozi wake? Au aliwafanyia nini kanisa? Hapa kuna kitendawili.
Nyerere alitoa elimu bure. Hakuwa fisadi. Watoto wake walikuwa na hadhi sawa na sisi. Alijenga siasa ya kujitegemea. Kipindi chake utofauti wa kipato kati ya tajiri na masikini haukuwa kama sasa. Shilingi ilikuwa na thamani kubwa. Alikuwa na nia ya dhati kabisa (iliyotoka moyoni) ya kulijenga taifa.Ana ubora upi? Taja mmoja tu.
Mkuu tutajie kiongozi bora (unayeamini) katika nchi hii.....Alikuwa Kingozi wa madikteta katika hii dunia. Alikuwa ndumilakuwili
Wewe wasema usemayo. Wenye akili wamekuelewa.Museveni lazima amuone nyerere mtakatifu, kwanza ni dikteta kama yeye na nyerere ndiye aliyemuweka madarakani.
Tukubali ama tukatae. Nyerere ni miongoni mwa viongozi bora kabisa katika historia ya Dunia hii. RIP Mwalimu Nyerere.
Mkuu tutajie kiongozi bora (unayeamini) katika nchi hii.....
Tuko pamoja. Sasa ubaya wa Nyerere uko wapi. Unaweza watenganisha vipi Nyerere na Sokoine?.Sokoine:smow: