Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Kisima cha mafuta cha Hoima ndicho kinacholengwa.
Oill.jpg
 
View attachment 864072Ninachokiongelea ni hii pipe ujenzi wake utakoma au utahamishiwa Kenya mkuu!!for god's sake!
Naelewa kuwa bomba linaumuhim kwetu yes.. but is that sababu ya kumtetea museveni kubaki madarakani?
Is that sababu ya kuawaacha raia wa uganda wazid kugandamizwa na serikali iliyopo all in the name of bomba la mafuta?

Okay so unasema kenya wanahusika na chokochoko hizi? How shure are you na nn source ya information zako?
 
Huyu ndio rais wao wa milele, piga ua, garagaza walahi!
Zionist huyu hamwezi walahi!
milele? au sijui maana ya milele.

ananguvu kumzidi qadafi ananguvu kumzidi aliyepigwa kitanzi yule wa Iraq?
 
Naelewa kuwa bomba linaumuhim kwetu yes.. but is that sababu ya kumtetea museveni kubaki madarakani?
Is that sababu ya kuawaacha raia wa uganda wazid kugandamizwa na serikali iliyopo all in the name of bomba la mafuta?

Okay so unasema kenya wanahusika na chokochoko hizi? How shure are you na nn source ya information zako?
PESA KWANZA WALAHI
 
Mwenye kuweza kufasiri tafadhari, sijaelewa maongezi yao zaidi ya PEOPLE POWER
 
Hivi mtu anaweza kuamini ati kijana ambae hana kazi huko Tunisia ndie alisababisha viongozi akiwamo Ghaddafi kuuwawa?!! mimi siamini kuna kundi ambalo lilipiga mahesabu makali sana,ndio hii ya Uganda.
 
Back
Top Bottom