Museveni akubali kukaa meza moja na wapinzani

Kufuatia mbinyo mkali wa wapinzani mataifa makubwa nchini uganda kumemfanya rais Museni kukubali kukaa meza moja na wapinzani kuamua jinsi ya kuitawala Uganda.
kota pini, kota pini, kota pini.
 
' hadi leo hii siijui, sababu ya mtu kukopa hela ya mtu na tabasamu la bashasha ila wkt wa kurudisha anageuka mbogo kumzidi hadi aliyemsaidia'
Daw yake na wewe wakati wa kumdai, unaanza kumdai kwa kuchekeana. Akizingua unambadilikia mpaka anashangaa. Mimi ukinikopa ni lazima ulipe. Sinaga msalie Mtume.
 
Kwa jinsi Magufuli alivyo panic leo kwa hoja ya dakika 2 tu ya Mnyika, nimeelewa kwa nini watawala wengi wanaogopa siasa za ushindani!

Maana imebidi wote waliosimama, Ndungayi, Makonda, Waitara na waziri wa ujenzi watetee kuokoa jahazi.

Nahisi Mheshimiwa hatapata usingizi vizuri leo!
Haamini kama watu wanaweza kumchana au?
 
Museveni na Kagame lazima waondoke ili eneo la Africa mashariki na kati, kupata amani na utulivu wa kudumu hao wawili ndo "centre of conflicts" in the region.......agenda kuu kwenye kikao chochote iwe lini wananyatuka.
umemsahau mwenzie mmoja i mean wawili
 
Boss hawa wamejiandaa kuliko unavyofikiri mtoto wa museveni aliemzalia hapa dar anaitwa mohoozi Kainerugaba ni meja general trained in sandhurst uingereza na mwenzake Slim wakwake anaitwa Ivan ame train west point marekani hivyo ni vyuo bora vya kijeshi duniani.hao wanapooza mambo yakiwa joto ila kwa kugeuka hawakawii
ata idd amin alikuwa na mtoto aliyepata mafunzo cuba na israel lkn now ni mwalimu wa GYM bulgaria
 
Back
Top Bottom