Museveni akubali kukaa meza moja na wapinzani

Kufuatia mbinyo mkali wa wapinzani mataifa makubwa nchini uganda kumemfanya rais Museni kukubali kukaa meza moja na wapinzani kuamua jinsi ya kuitawala Uganda.
Museveni na Kagame lazima waondoke ili eneo la Africa mashariki na kati, kupata amani na utulivu wa kudumu hao wawili ndo "centre of conflicts" in the region.......agenda kuu kwenye kikao chochote iwe lini wananyatuka.
 
Hasa Kagame ndiye balaa kabisa maana kila kona anaijua
Museveni na Kagame lazima waondoke ili eneo la Africa mashariki na kati, kupata amani na utulivu wa kudumu hao wawili ndo "centre of conflicts" in the region.......agenda kuu kwenye kikao chochote iwe lini wananyatuka.
 
' hadi leo hii siijui, sababu ya mtu kukopa hela ya mtu na tabasamu la bashasha ila wkt wa kurudisha anageuka mbogo kumzidi hadi aliyemsaidia'
 
Kwa jinsi Magufuli alivyo panic leo kwa hoja ya dakika 2 tu ya Mnyika, nimeelewa kwa nini watawala wengi wanaogopa siasa za ushindani!

Maana imebidi wote waliosimama, Ndungayi, Makonda, Waitara na waziri wa ujenzi watetee kuokoa jahazi.

Nahisi Mheshimiwa hatapata usingizi vizuri leo!
 
Labda atumie piriton

Kwa Museveni ni issue ya aina yake. Kama anaitakia mema Uganda lazima afikirie hivyo. Ataacha ombwe. Hatari sana kwa nchi kuenda kwenye hiyo stage
 
Museveni na Kagame lazima waondoke ili eneo la Africa mashariki na kati, kupata amani na utulivu wa kudumu hao wawili ndo "centre of conflicts" in the region.......agenda kuu kwenye kikao chochote iwe lini wananyatuka.
Wataondolewa na nani?

Hilo ndio swali.
 
Museveni anazidi kuchoka physically, jua naona linamzamia. Sio muda mrefu ataiacha Uganda.
 
Wataondolewa na nani?

Hilo ndio swali.
Waganda wana uwezo wakumondoa Museven mda wowote zaidi ya 70% hawamtaki, anatumia nguvu nyingi kuendelea kutawala hiyo nchi.....lakini siku zake zina hesabika, watamondoa tu.
 
Back
Top Bottom