BRUCE LEE
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 2,096
- 1,337
Historia ya Kaguta alikuwa TISS ya Uganda cwakati anaomba kuja kusoma UDSM, na alianza harakati akiwa hapa.
Moja ya sababu za Nyerere kumdharau Amini ilikuwa elimu yake ya darasa la nne, na mapinduzi ya kwanza yalikuwa mwaka 1972
sio kweli mkuu soma kitabu chake cha the mustard seed ndio utaelewa vizuri kaguta alipata scholarship ya jumuia ya afrika mashariki na kuja kusoma udsm ndio akapanda tren kuanzia mwanza mpaka dar, na akatafuta geto mazese midizini nyerere na museven kwa mara ya kwanza walikutana udsm kipindi ambacho akina museven, lowasa na jk wakiwa viongozi wa daruso kipindi hicho mwalimu alienda kuongelea ujamaa na museveni akamuuliza maswali ya kukera saaana, nyerere akamjibu kwa hasira, na alipomaliza chuo akaenda uganda akapata kazi kwa serikali ya obote na matokeo yake baada ya obote kupinduliwa ikabidi museven arudi tanzania na kuomba msaada kwa nyerere baada ya kumwambia kua anataka kumpindua amini ndio mkakati ukaanza wa kumpeleka jeshini yeye na kundi lake, nyerere si tu alimdharau amini kwa elimu yake bali alitaka kumrudisha madarakani rafiki yake obote ambae alipoenda uingereza field marshal amini alimpindua... pia kuna inshu ya ukatoliki na uyahudi navyo vilitumika na pia ukweli utatuweka huru jeshi la tanzania halikua na uwezo wa kumpiga amini tulipata msaada mkubwa kutoka nchi nyingi.