Muscat Oman

Muscat Oman

Mkuu kuna baadhi ya maeneo unachange tu, from Oman rials to Thai baht hapo Bangkok, hata Pattaya kuna sehemu unaweza change Oman rials,ungeuliza wenyeji wangekuelekeza,watalii wengi wanaoenda Thailand ni from GCC countries ""Nchi za gulf"
Kwa sababu Thailand ni sehemu za starehe, wanajiuza huko shemale kibao.
 
Pesa yoyote yenye kuheshimika duniani na kukubaliwa huwezi kuhangaika mpaka kwa wenyeji kukusaidia kubadili.

Mimi Riyal zangu Bangkok nilihangaika nazo sehemu nne bila mafanikio. Sikatai kuwa kuna sehemu zinaweza kukubalika pengine, lakini niliambiwa na jamaa wa Bureau ya Bangkok kuwa hawazitaki.

Mbona nabadili Yen ya Japan bila tatizo kokote?

Mimi si mgeni wa safari, Sheikh. Nafahamu kuwa watu wa Oman na Saudi Arabia wanapapenda sana Thailand, hasa kwa ajili ya matibabu na starehe.

Kuna Arab Town Bangkok , ipo Mtaa wa Sukhumvit Soi 3, au kwa treni ni Nana station.

Unakula Sheesh Kabab za Iraq, lakini kwa bahati mbaya ni sehemu ya umalaya, hasa wa kutoka Afrika.

8afd7092588c400cc106baae43c31abe.jpg



Na haya ndiyo mambo rasmi wageni wengi wanafuata Pattaya.

24e09384db60e03f82ceccafda13d0ef.jpg


472e453f1a4ac19006f2d8579e48faf3.jpg


Muuzaji na Mnunuzi.
Shemale hao, huko wana change utupu wasenge..
 
Pako vizuri ukienda utajisikia upo nyumbani maana Kiswahili kinazungumzwa sana ata waswahili wenyewe wapo kwa wingi
 
Kusema ukweli, siyo raia wa Afrika tu.

Hata raia wao wenyewe wanajiuza sana. Wanatoka kijiini, hawana elimu na kazi rahisi na inalipa haraka ni kujiuza kwa watalii milioni 30.

Watalii wengi ni "Sex Tourist". Na Thailand wamejiandaa kuwahudumia jinsia zote.

Mara nyingi, wageni wazee wanachanganyikiwa na raha za Thailand. Wanarudi kwao, wanavunja ndoa na kurudi Thailand kuoa demu wa miaka 19 aliyekutana nae baa.
Kumbe shemale
 
Back
Top Bottom