Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hawa hapa....
Nyumbani kwao ni moshi...according to story lakini sijui kams kuna uhalisia.
Pia kuna akina masanja na kwilasa...
"Musa is cleaning the blackboard"
"Neema is sweeping the floor"
I am Musa
I am a boy
I am ... years old
IT WAS GOOD!
Poleni najukumu wana jamii, kwa waliosoma shule za miaka ya nyuma kidogo kabla ya mkapa osis. Katika shule za msingi Tanzania kulikuwa na mtiririko wa story kuanzia darasa la tatu mpaka la saba. Katika vitabu vya kiiengereza wahusika walikuwa familia ya Mr$Mrs Daud huku watoto wao wakiwa Musa na Neema na mdogo wao Baraka.
Vitabu vile vilikuwa na mtiririko mzuri wa habari za kumvutia msomaji. Lkn watunzi wa sasa vitabu vyao ninakopy hadithi ambazo kila mmoja anazijua, hawana ubunifu. Mtunzi wa vitabu alikuwa nani?
hakika elimu ilkuwa elimu
jogoo aliyesemaView attachment 137678Ila ile story ya Manenge ilikuwa bomba sana " Tumbo niache nimwachie Manenge Uji" Hawa vijuza nadhani walishakufa kwenye ile hadithi
Nakumbuka Shairi la KARUDI BABA MMOJA;
Enzi zile darasa la NNE. Tunatiririka na ubeti mwanzo mwisho tena kwa raha zetu hata mitaani utasikia watotot wanaimba KARUDI BABA MMOJA
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
''tola : njaaa ipo muda mrefuMi namkumbuka yule Matola ambaye alikuwa mchoyo kiasi kwamba hata wakati wa msosi alikuwa anajificha, kuna siku alikuwa anakula gizani kwa bahati mbaya akala na mdudu! nadhani kitabu hiki kitakuwa na cha darasa la 1 au 2, enzi hizo.
Na je kuhusu Juma na Rosa, walipotelea wapi!??
Mmenikumbusha mbali...vipi ile story ya "Jogoo lililombeba mtu kichwa chini miguu juu?....." ama kweli ya kale ni DHAHABU