mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,994
Wakuu Sisi Tunao Soma Tunaombeni Muwe Mnatusaidia Pale Tunapo Kwama Katika Masomo, Sasa Nilijenga Dhana Kichwani Kwangu Kwamba Manslaughter Ni Mauaji Pasipo Kukusudia, Lakini Leo Nikaona Section 198 Of Cap 16 Ikisema Kuwa Mtu Anae Commit Manslaughter Ana Hukumiwa Maisha Jela, Hapa Nikapata Mawazo Ya Kutafakari Kuhusu Manslaughtar. Nini Hasa Maana Ake Na Je Inatofautiana Vipi Na Mudder? Na Katika Section 196 Of Cap 16 Kuna Neno Malice Aforethought Lina Maana Gani Hili? Msaada Wadau!