Hapo naona kuna utofauti huwa kuna kozi za kawaida na kuna special kozi ,water supply and sanitation ni kozi ya kawaida ila irrigation ni special course hata wizara ikitangaza ajira za kilimo watu wa irrigation wanakua na kipengele chao wenyewe .Watch out... Kama unataka kusoma diploma ya irrigation pale chuo cha maji ni bora ukasoma kozi ya water supply and sanitation eng iko wide sana compare to irrigation
Nataka kusoma diploma nyingine kwa course ya afya mkuu
Nimesoma diploma 2 ya IT na nikasoma Diploma ya Economic and finance kwa hapo degree nivyema nikasoma kozi gn yenye soko zaid??
Kimtazamo wng ninaona zote zipo swKwanza, je kati ya hizo fani mbili ulizosoma ipi "yenye soko" zaidi so far ?
Asante mkuu ila hujaniambia facult gani nzuri ya afya kwa diploma nikiwa nina C ya chem, C biology na D phyics o levelInawezekana maana hautatumia diploma ya civil engineering kama kigezo cha kuingia diploma ya afya. Hapa cheti chako cha kidato cha nne ndio ama kitakupeleka huko au kukukwamisha kulingana na yaliyomo humo chetini. Kama una ufaulu katika masomo ya sayansi, omba chuo pale uombaji utakapofunguliwa na inshaallah mambo yatakua sawa
Mkuu finance kwa ajili ya Cheo Una maana ganini kweli aiseee basi nenda finance tu kwa sababu ya cheo tu..Au kama una maisha marefu na shule Nenda Accountancy ufike hadi NBAA
hiki ulichoandika sio kweliUdahili unatumia masomk ya advance so haijlish kam alifel physic o-level kikubw tu advanc awe na credt nzur zitakazofit kweny competition
So facult fan inamata japo nilipenda law enforcement mkuuFrankly and honestly speaking, jibu ni NO.
Hesabu ni muhimu sana kwa kozi hiyo uliyoitaja, na ndio maana mara nyingi huwa wanachukua watu wa EGM, sasa kwa wewe ambaye mathematics una F itakua ngumu mno kuchaguliwa. Kumbuka kwamba hiyo kozi inatolewa na chuo kimoja tu kwa sasa (kama sikosei) ambacho ni ARDHI UNIVERSITY, hii itapelekea wewe kushindwa kufurukuta mbele ya waombaji wengine hasa wa EGM, PCM na wengineo mtakapokua mkiwania nafasi chache kwenye chuo hicho kimoja tu.
Anza kufikiria maisha bila LAND MANAGEMENT AND EVALUATION kama hautojali.
HV hyo unaweza soma kma umefaul geo advanc frm CBGYan umelenga mule mule nilipokuwa nafikilia basi kumbe yawezekna maono yngu yatakua na tija nimeitimu diploma in general agriculture last year mwaka huu nilikua nataka nirudi chuo kuchukua Agricultural economic & agribusiness na nimeona imepewa priority apo katka uzi wako hii ni motivation kwangw
Nataka nikasomee maswala ya utawala inakuaje hapo?Lengo kubwa la Uzi huu ni kuunganisha wote wanaotarajiwa kuingia chuoni so kupitia Uzi Ntatoa Experience yang tukishare pamoja na NDUGU zetu wengine kufahamu Hali halisi ya kozi mbalimbali na career Zake kwa Tanzania
Ulichokosea ni kusema udahili unaangalia form six tu kitu ambacho si kweliMkuu,hebu tuwekee ushahidi wa O level requirements kutoka kwenye guide book ili na sisi tuupdate uelewa wetu
Lakini pia kwenye CBG na Pharmacy nijuavyo kila chuo na requirements zake:Mfano MUHAS ,CUHAS wao wanataka PCB ilihali SJUT wanataka just Chemistry and Biology ambapo hata mtu mwenye CBG anazo
Karibu
Niko interested nakujua kwanini umefikia maamuzi hayo?Mimi nna diploma ya civil engineering, nataka kuhamia afya course gani ambayo haitanichelewesha kwenye upatikanaji wa ajira?
Una F ya Bam au na ya Basic math olevel?HGL naeza soma Bach, of science in land management and valuation japo mathematic Nina f
Pharmacy vipi sio njemaNiko interested nakujua kwanini umefikia maamuzi hayo?
Diploma nzuri za afya kuna
optometry
diagnostic radiography
clinical medicine
Pharmacy degree ndo nzuriPharmacy vipi sio njema