Muongozo Wa Biashara ya microfinance

Muongozo Wa Biashara ya microfinance

Me binafsi nimeshawishak na hii biashar kwa sas nipo kweny process ya kukamilish usajil nianze kufanya kaz ni biashar nzuri kw kweli ukituliza akili unatoboa kimaisha
 
Me binafsi nimeshawishak na hii biashar kwa sas nipo kweny process ya kukamilish usajil nianze kufanya kaz ni biashar nzuri kw kweli ukituliza akili unatoboa kimaisha
Kama upo Dar ni rahisi kutoboa 😂😂😂
Tembelea maeneo ya Masaki, Oystebay tafuta Walinzi uwe unawakopesha. 100, 000 kwa 40,000.ukiwa na mtaji wa 4 milioni kwa mwaka we ni Bilionea
 
Kama upo Dar ni rahisi kutoboa 😂😂😂
Tembelea maeneo ya Masaki, Oystebay tafuta Walinzi uwe unawakopesha. 100, 000 kwa 40,000.ukiwa na mtaji wa 4 milioni kwa mwaka we ni Bilionea
Hpn nipo znz
 
Ahsanteni wakuu kwa ushauri wenu ,nimepokea mawazo yenu ntafanyia kazi,

Nimesoma comment zote na nimeelewa!
 
  • Njia nyingine, unaweza kuanzisha mahusiano na mtumishi (mwalimu, nesi n.k) akukopee maisha yaendelee.
  • Au unaweza kumtafuta mshirika, ukampa wazo lako na akiliona lina faida , muunganishe mitaji.
  • Au tushawishi sisi wanabodi 1000 tununue hisa ya 20,000/= kazi ianze
😆 Niwashawishi Wana bodi wanunue hisa sio?
 
Kuna watu tupo hapa na tunaendelea kuwakausha dam wengine biashara Ina hela kama Kila ktu Kitanda oky
 
Tutakusaidia mfumo wa kusimamia biashara yako ya Microfinance, utautumia bure kwa muda wa miezi 6 unaweza ingia 'peloo.app' ili kuweza kuanza kuutumia
 
Tutakusaidia mfumo wa kusimamia biashara yako ya Microfinance, utautumia bure kwa muda wa miezi 6 unaweza ingia 'peloo.app' ili kuweza kuanza kuutumia
MKuu huu mfumo unafanyane kazi, waweza fafanua kidogo?
 
MKuu huu mfumo unafanyane kazi, waweza fafanua kidogo?
Peloo ni mfumo wa computer wa usimamizi wa biashara za mkopo ambapo kwa kutumia mfumo huu ni rahisi kuweza:
1. Kusimamia taarifa za wateja waliokopa
2. Ufuatiliaji wa marejesho- inakuonyesha ni lini mteja anapaswa kufanya marejesho
3. Inakuonyesha wateja ambao wamepitiliza siku za marejesho
4. Inakuwezesha kusimamia branch zaidi ya moja.
5. Inakupa taarifa zote za matumizi ya ofisi
6. Inakupa taarifa kamili ya fedha kwenye biashara yako
7. Unaweza kusajili wafanyakazi wako na kila mmoja unaweza kumpa roles ambazo ataweza kufanya. Kuanza kutumia ingia Peloo.app kwa pc yako.

Ahsante.
 
Kama kuna ambaye anafanya hii biashara ni vyema akaleta ushuhuda hapa ili tujifunze
 
Ni biashara nzuri in deed ila uwe ni mtu mwenye historia chafu kidogo kama vile una huruma ,wewe ngumi mkononi ,mtu akizingua kubeba TV zake sio shida zako .

Yaani kikubwa wakuogope hapo mafanikio umeyaona ila ukiwa lelemama utajikuta mtaji wenyewe umekunywa pombe kwa mawazo ya wateja wako .

Kikubwa upime kwanza presha yako kama iko sawa na usiwe na magonjwe yasiyoeleweka hukawii kufa mapema maana ni biashara ya wamba kwa wamba ,hivyo hakuna mdhaifu huko .

Sikuogopeshi naogopa kusema nazungumzia experience ila nimeona mengi kwenye hii biashara ,kwa mengi zaidi tutazidi kuambizana kila nikipata fahamu zangu za huu mchezo
 
Me binafsi nimeshawishak na hii biashar kwa sas nipo kweny process ya kukamilish usajil nianze kufanya kaz ni biashar nzuri kw kweli ukituliza akili unatoboa kimaisha
Mim tyr nimeanzisha hii biashara nina miezi 2 kwa sasa namshukur M/Mungu inaenda vzr sana mpka sasa nimefanikiwa kufungua ofisi 2 zikiwa na jumla ya wafanya kazi 7
 
Mim tyr nimeanzisha hii biashara nina miezi 2 kwa sasa namshukur M/Mungu inaenda vzr sana mpka sasa nimefanikiwa kufungua ofisi 2 zikiwa na jumla ya wafanya kazi 7
Mkuu,ulianza na mtaji kiasi gani maana ndani ya miezi miwili ofisi mbili..inaonesha unakimbiza bala
 
Mkuu,ulianza na mtaji kiasi gani maana ndani ya miezi miwili ofisi mbili..inaonesha unakimbiza bala
Mtaji tulioanza nao ni M12 tu
Tulianza na ofisi 2 kwa pmj

kesho tunafungua nyengine ya 3 ndo inakamlisha hao wafanyakaz jumla wanakua 7

Iyo ya 3 mtaji wake unatoka nje ya izo m2 na tumeiwekea mtaji wa milion 3 kwa kuanzia
 
Kweli huyu atupatie uzoefu tujifunze zaidi. Wateja wake ni watu wa namna gani hasa?
Wateja wetu ni wafanya biashar wadog na wakati tunagawa hela kw marejesho ya week kwa mda wa week 6 mkopo ukizidi m1+ marejesh yake ni kw week 8
 
Mtaji tulioanza nao ni M12 tu
Tulianza na ofisi 2 kwa pmj

kesho tunafungua nyengine ya 3 ndo inakamlisha hao wafanyakaz jumla wanakua 7

Iyo ya 3 mtaji wake unatoka nje ya izo m2 nna tumeiwekea mtaji wa milion 3 kwa kuanzia
Unatumia mbinu gani kupata wateja wa kutosha na waaminifu?
 
Back
Top Bottom