Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Beberu huyo katangulia, Aliuza nyumba za serikali akishirikiana na yesu wenu
Hawajui hawa wamejaa ushabiki maandazi tu!! CCM ni laana kwa hii nchi, saivi masaki na oysterbay zinakuwa kama Sinza tu. Ni uchafu mtupu
 
Fanya mchongo na wewe upigwe risasi hata moja tu ya mguuni uone kama utachangiwa hata na unaowatumikia.
 
Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......

Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Unaweza kuta alishakufa siku nyingi wakasubir ujio wa mwamba
 
USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Lissu ndo anaenda kulupasua hili Jiwe la tumbawe vipande vipande.
Huyo ndo atawakomboa watanzania toka kwa haya manyang'au yasiyo na huruma.
 
Mwambie lissu a cancel ndege ya j3 tutamlipia aje baada ya msiba, kwani tiketi shngapi?
 
USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Mungu Fundi, Mkapa sasa akakutane na wapemba aliodhulumu haki zao za kuishi huko.
 
Mungu Fundi, Mkapa sasa akakutane na wapemba aliodhulumu haki zao za kuishi huko.
Bahati yake alitubu kwenye kitabu chake. Ila kusema ukweli mzee aliua sana wazanzibar 2001
 
Mungu Fundi, Mkapa sasa akakutane na wapemba aliodhulumu haki zao za kuishi huko.
 
USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Chunga maneno yako dogo! Mungu Fundi, Mkapa sasa akakutane na wapemba aliodhulumu haki zao za kuishi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…