Muongozo: Mapokezi ya Lissu

Mwana kulitafuta mwana kulipata
 
True! Hakika ni wazzo zuri
\
 
Kama ni kweli basi niii 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Matukio haya mawili jiwe anahusika; risasi kwa TAL na sasa corona kwa BWM.
USIMUHUSISHE MUNGU NA UHUNI WENU NA HUYO TUNDU LISU WENU MNAMCHOSHA SASA HUYO ANA NURU GANI BEBERU MKUBWA HUYO
Mtakamatwa na polisi kwa kuandamana bila kibali
Apokelewe kutoka wapi?
Hii Tabia ya kuwasemea watanzania ikome!
Hii Tabia ya kuwahusisha watanzania na Mambo ya kihuni na muhuni wenu mkome!
Lisu ni na Nani nchi hii?
wana kulitafuta wana kulipata mnakaribishwa
Unaweza kuta mtoa post yuko zake biharamulo huko 😂😂😂😂
Ila Mungu ahusishwe katika matendo ya kudhurumu haki ya watu kuishi.
Niko Ruvuma ila jumapili naingia Dar kwa ajili ya kumpokea Tundu Lissu hapo Dar es Salaam
 
Tuko pamoja mkuu.... Ila nadhani huu msiba umetengenezwa na ccm ili kuvuruga mapokezi muhimu sana ya mh Tundu LISSU......

Ccm chama na serikali yake ya kishetani hawashindwi
Tafadhali mwendo Mdogo, Mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…