Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
Njoo PM kwanza..Jamii forum ni sehemu sahihi ya kupata ushauri,samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code,nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019,now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.
Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.
Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.
Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
Kwakuwa tayari unalijua tatizo,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.
Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
Hakufai huyo 😅😅You sound like jidume lenye misuli mikubwa na midevu ya kunyolewa na shoka,
Jitafakari sana.
You sound like jidume lenye misuli mikubwa na midevu ya kunyolewa na shoka,
Jitafakari sana.
Dume linalotafuta attention kwenye mitandao la nini mieHakufai huyo [emoji28][emoji28]
Picha pleaseJamii forum ni sehemu sahihi ya kupata ushauri,samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code,nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019,now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.
Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.
Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.
Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
He is a Man but attention seekerHe seems to be a man
Ishu hapo ni muonekane na muonekano huletwa na mazoea au nature ya mtu. Ushauri wangu badirika hususani kimavazi na jaribu kujiweka kikike kike la sivyo itakuwa ngumu kuelewekaJamii forum ni sehemu sahihi ya kupata ushauri,samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu.
Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code,nina diploma ya uhandishi wa habari nilisomea chuo x mwaka 2019,now napiga harakati za kuuza nguo za mitumba za kike, biashara hii imenikutanisha na rafiki wengi wa kike wengine tupo closed Sana Kuna time tunatembelea.
Najielezea Mimi kimuonekano Niko na character za kitomboy jinsi navyovaa na baadhi ya maisha yangu kwa ujumla Ila ni mwanamke mzuri tu.
Shida natishiwa Sana mtaani na wanaume eti Nina tabia ya usagaji niachane wake zao wakati sio kweri urafiki wangu upo kibiashara imefanya mpaka biashara yangu haiendi vizuri,tatizo muonekano wangu na lifestyle yangu.
Wana Jamii forum naomba mnipe majibu yenye staha na mazuri
Umejuaje kama dume 😅😅Dume linalotafuta attention kwenye mitandao la nini mie
Safi kabisa,Picha please
Sample zako hizo mkuuDume linalotafuta attention kwenye mitandao la nini mie
Wewe upo JF tangu inaitwa Jambo hujawajua tu watu wake na vituko vyake?Umejuaje kama dume [emoji28][emoji28]