Muonekano wa stand ya mabasi Bukoba mjini mkoa wa Kagera

Bukoba wanatakiwa kujenga stand nzuri itakayo kidhi mahitaji yao na kuondoa kero kwa wasafiri wanaotumia stand hiyo.
Tembelea kyakailabwa inakojengwa mpya nako upige picha ulete waone siyo kuleta tupicha twa zamani kwa ajiri ya masrahi yako binafsi, hamuchoki kutwa kuchonga stori za maji taka?
 
Usijitete bwana rekebisheni hiyo stand ili iwe ya kisasa.....
 
Tembelea kyakailabwa inakojengwa mpya nako upige picha ulete waone siyo kuleta tupicha twa zamani kwa ajiri ya masrahi yako binafsi, hamuchoki kutwa kuchonga stori za maji taka?
Jibu mapigo kwa kupiga hiyo inayojengwa mpya utuletee hapa....tunakusubiri wala usije kunisalimu wewe nende kapige hiyo picha utuwekee hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…