Muonekano wa Mwigulu na Nape katika jamii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muonekano wa Mwigulu na Nape katika jamii.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Umslpogaaz, Jul 16, 2012.

 1. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape.jpg
  Hii nimeitoa facebook na hapa chini ni maoni ya vijana wengi kuhusu hawa makada wa ccm:

  https://www.facebook.com/photo.php?fbid=10151029567869339&set=a.10151029566169339.443590.109362579338&type=1  • 1 share
   • Tell us about themabout an hour ago ·
   • nini tena au kavuliwa gamba m2about an hour ago ·   • magamba magumuabout an hour ago ·   • wanaongelea nini hapo?about an hour ago ·   • ma swahiba nn hawa au!about an hour ago ·   • mhhabout an hour ago ·   • wenye nchi!about an hour ago ·   • mafisadiabout an hour ago ·   • Mjambazi namba moja Tanzania!about an hour ago ·   • Rais wa Chama cha Mabwepande.about an hour ago · · 1   • CCM ya leo, jamani kazi ipo.about an hour ago · · 1


   • [​IMG] jipya niniabout an hour ago · · 1   • Mabweabout an hour ago · · 1   • makamanda hao,about an hour ago ·


   • [​IMG]
    CCMabwepande!about an hour ago · · 1   • wanafiki wazandiki mafedhuli wehu wahuni wasalitiabout an hour ago · · 1   • vijana wamepotea kwa kukosa maarifa.about an hour ago · · 1   • Hawana jipya hao.about an hour ago · · 1   • hawa na tainganyika ya kushotoabout an hour ago ·   • je wako upande gani?about an hour ago ·   • WaNaFiKiRiA La KuWaDaNgAnYa WaTaNzAnIaabout an hour ago ·   • kwan ni nani huyo jamanabout an hour ago ·   • inchi hii co kila m2 ashike chake mapemaa hivi wewe jk vip huna machoabout an hour ago ·   • Kurudi nyuma nayo kasiabout an hour ago ·
   • Wazushi tu wananikera kinomaabout an hour ago ·   • Hovyooo!about an hour ago ·   • Wala nchi ndo hao somen na niny mle ka waoabout an hour ago ·   • Huyu jamaa ndo yule mropokaji!about an hour ago ·   • Wananihariba cku . Kiv cc wana2ona ha2na akil 2shakubali maisha ya bla kaz 2tfka 2. about an hour ago ·   • nani hataki kushika bro? we kama umeona wahi ohhh, utakuja kuulizwa huko mbinguni kama ipo.about an hour ago ·   • who's this antics54 minutes ago ·   • Dawa ya mjinga ni kumnyamazia ili ajione ana akili kuliko wote.52 minutes ago · · 1   • Kichefuchefu!52 minutes ago ·   • magamba hayo hakuna jipya hapo44 minutes ago ·   • natapika mie,44 minutes ago ·   • Mwigula hana hoja , ni specialist wa mipasho, yuko mjengoni ndivyo sivyo.for his belly43 minutes ago · · 1   • wazee wa propaganda hasi25 minutes ago ·   • Matapeli hao23 minutes ago ·


   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Waanzishe bendi ya muziki, wa kichemba.
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nIKIANGALIA SURA YA MIGULU NATAMANI KUHARISHA
   
 4. D

  Deofm JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani, tumkumbuke Nape enzi zake za UVCCM, nadhani mnakumbuka alivyokuwa tishio kwa mafisadi hadi hoja ya uzanzibari ikatengeneze kama sinema, halafu mhusika akavuliwa gamba, then Nape akapelekwa chuo kufundishwa nadharia ya chama na imani ya chama. baada ya hapo akarejeshwa kundini. Kama atafanya kazi kiiteligensia bado naamini anaweza kuja kutufaa baadaye. subira yavuta heri.
   
 5. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maoni karibu yote yaliyotolewa hapo juu yanaonyesha chuki dhidi ya hao makada wa ccm ambao ambao maneno na vitendo vyao vinakera wananchi. Waliotoa maoni ni sehemu ndogo tu ya jamii lakini inaweza kuonyesha ni jinsi gani jamii ya Kitanzania ilivyoshoshwa na dana dana za ccm. Kitu cha kushangaza ni kwamba macho na masikio ya makada hao yamezibwa kiasi cha kutokujua ni kitu gani kinaendelea!
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mbona ni kama wote wanatumia mkorogo kama wale wanamziki wa kikongo?
   
 7. N

  Nipe tano Senior Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 8. a

  andrews JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Du mmekosea sana mnauwa wenyewe halafu mnakimbilia polisi nasikia yule jamaa hakufikisha pesa kwa vijana wa fujo?
   
 9. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  chemba la maji machafu
   
 10. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  actually ni furaha sana kuona kuna watu kama hawa halafu watu kama kina mangula na peter kisumo wamenyamaza kimya..embu wawalete kina Tambwe hiza tufurahie magoli ya kujifunga...hihihihi
   
 11. B

  Bob G JF Bronze Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nawahurumia kwa kuutumia vibaya ujana wao, wameharibikiwa na wamejimaliza kisiasa
   
 12. a

  andrews JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​kwanza nape aache kujichubua,halafu mbona anakiita chama cha siasa magaidi huoni kama ni woga huo wakoloni walimwita nyerere mchochezi poleni san jifunzeni siasa
   
 13. N

  Nipe tano Senior Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akili zingine za ajabu kweli ! Kama za padri mwizi. Hivi ni kweli kuwa hujui kuwa mnao watukana hawa makamanda ni nyie CHADEMA,mnaojua fika kuwa wanawakimbiza? Umeona mikutano yao mikoani?Acha uzezeta,tumia ubongo kuwaza na si ....buri!!!!
  QUOTE=Umslpogaaz;4251091]Maoni karibu yote yaliyotolewa hapo juu yanaonyesha chuki dhidi ya hao makada wa ccm ambao ambao maneno na vitendo vyao vinakera wananchi. Waliotoa maoni ni sehemu ndogo tu ya jamii lakini inaweza kuonyesha ni jinsi gani jamii ya Kitanzania ilivyoshoshwa na dana dana za ccm. Kitu cha kushangaza ni kwamba macho na masikio ya makada hao yamezibwa kiasi cha kutokujua ni kitu gani kinaendelea![/QUOTE]
   
 14. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao walioandika Facebook nao ni Chadema?
   
 15. O

  Original JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa vijana ndiyo wanaiua CCM.
   
 16. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [/QUOTE]

  Sidhani kuwa hao walioandika Facebook ni wanachama wa Chadema. Naamini kuwa hawa watu pamoja na chama chao wamepoteza maana ya kuwepo na kuiongoza nchi. Kutokana na maoni yalioyoandikwa yanaonyesha kuwa asilimia kubwa ya Watanzania hawavutiwi na chama hiki tena.
   
 17. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Hawa ni mufilisi totaly hawana issue tena. Debe limeisha unga linapiga kelele.
   
 18. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hata shetani anatajwa kila siku
   
 19. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hawa mbuzi kwa tabia zao, watakuwa gays!
   
 20. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kweli siasa za singida.(mufwanga na ulaeleani)
  hata kuku wa huko ni watamu sana
  na beki tatu wa huko nasikia wanapiga mzigo ile mbaya.
   
Loading...