Jana nimepata za Ndani ..kumbe Magufuli anaposema atafunga Majambazi yaliyofikisha hapa Ana maana HATA JK NA familia yake nao hawatapona....
Anawaambia watu wasubifi kwanza October ....NA imepangwa JK atakiwe kukabidhi ueenyekiti wa chama Mara Moja NA kurudi kijijini...,yeye Ana kinga lakini ridhiwani NA mama yake wa kambo lazima Kisutu
Hizi ni habari Mbaya ..Ina maana uchaguzi wa mwaka huu ..kuna watu ambao ashinde Lowassa au ashinde Magufuli kwao lazima waumie.....hivi karibuni Magufuli amekataa mabilioni yaliyochangwa NA network ya ridhiwani ...Kina Lugumi ...home shop etc ...NA KUSEMA pesa apokee ...Nape NA Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhwavi ..ambao inaelezwa wamezila ......
KWA Sasa watendaji wengi wa ccm wanakula SANA pesa za kampeni ...KWA kuwa Pia inaelezwa Rais Kikwete NA familia yake ..wenyewe ..wamepokea michango ya mabilioni ya kampeni lakini WAMEZIBANA ..HAZIJAFIKA LUMUMBA ..
WILAYANI WATU WANALIA NJAA