Muonekano wa Dr. Magufuli mwaka 1978

Muonekano wa Dr. Magufuli mwaka 1978

Kwa hali tuliyofikia sasa tunahitaji kiongoz aina ya Magufuri alete nidhamu ya uwajibikaji na utendaji..... Wabongo tumekuwa wavivu sana kufanya kazi tumejiachia sana hasa hasa serikalini huku kutwa tukilalamika maisha magumu.. .. Magufuri ndo mtu wa kututoa huko na si mwingine... Twendeni naye....#hapa kazi tu.
 
Jana nimepata za Ndani ..kumbe Magufuli anaposema atafunga Majambazi yaliyofikisha hapa Ana maana HATA JK NA familia yake nao hawatapona....
Anawaambia watu wasubifi kwanza October ....NA imepangwa JK atakiwe kukabidhi ueenyekiti wa chama Mara Moja NA kurudi kijijini...,yeye Ana kinga lakini ridhiwani NA mama yake wa kambo lazima Kisutu

Hizi ni habari Mbaya ..Ina maana uchaguzi wa mwaka huu ..kuna watu ambao ashinde Lowassa au ashinde Magufuli kwao lazima waumie.....hivi karibuni Magufuli amekataa mabilioni yaliyochangwa NA network ya ridhiwani ...Kina Lugumi ...home shop etc ...NA KUSEMA pesa apokee ...Nape NA Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhwavi ..ambao inaelezwa wamezila ......
KWA Sasa watendaji wengi wa ccm wanakula SANA pesa za kampeni ...KWA kuwa Pia inaelezwa Rais Kikwete NA familia yake ..wenyewe ..wamepokea michango ya mabilioni ya kampeni lakini WAMEZIBANA ..HAZIJAFIKA LUMUMBA ..

WILAYANI WATU WANALIA NJAA

Tabia ya famia ya Rais kula hela za kampeni ilianza mwaka 2010 ...AMBAYO pesa zote ziliidhinishwa na mama au watoto ...NA ndio ilichangia kuporomoka ccm
Naona pesa zimekua tamu ...hazina hesabu

kadanganye watoto hizo ngonjera zako hazina mashiko,atakaye weza fanya hayo ni mtu kutoka upinzani yaani nje ya CCM
 
Iko ndani ya mioyo ya watanzania.

Nakupa hongera, na wengine kama wewe, uliyeweka picha ya Lowasa moyoni mwako badala ya Mungu aliyekuumba, au wazazi wako waliokupa uhai, hata ya familia yako inayokutegemea.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Jana nimepata za Ndani ..kumbe Magufuli anaposema atafunga Majambazi yaliyofikisha hapa Ana maana HATA JK NA familia yake nao hawatapona....
Anawaambia watu wasubifi kwanza October ....NA imepangwa JK atakiwe kukabidhi ueenyekiti wa chama Mara Moja NA kurudi kijijini...,yeye Ana kinga lakini ridhiwani NA mama yake wa kambo lazima Kisutu

Hizi ni habari Mbaya ..Ina maana uchaguzi wa mwaka huu ..kuna watu ambao ashinde Lowassa au ashinde Magufuli kwao lazima waumie.....hivi karibuni Magufuli amekataa mabilioni yaliyochangwa NA network ya ridhiwani ...Kina Lugumi ...home shop etc ...NA KUSEMA pesa apokee ...Nape NA Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhwavi ..ambao inaelezwa wamezila ......
KWA Sasa watendaji wengi wa ccm wanakula SANA pesa za kampeni ...KWA kuwa Pia inaelezwa Rais Kikwete NA familia yake ..wenyewe ..wamepokea michango ya mabilioni ya kampeni lakini WAMEZIBANA ..HAZIJAFIKA LUMUMBA ..

WILAYANI WATU WANALIA NJAA

Tabia ya famia ya Rais kula hela za kampeni ilianza mwaka 2010 ...AMBAYO pesa zote ziliidhinishwa na mama au watoto ...NA ndio ilichangia kuporomoka ccm
Naona pesa zimekua tamu ...hazina hesabu

Kwa ccm hii ninayoijua utendaji huo utasubiri sana!
 
Nakupa hongera, na wengine kama wewe, uliyeweka picha ya Lowasa moyoni mwako badala ya Mungu aliyekuumba, au wazazi wako waliokupa uhai, hata ya familia yako inayokutegemea.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Tukutane hapa January Mwakani inshallah ndio useme Mimi Muongo...

Mimi naona mwaka huu Mungu kaipenda Tanzania Kwakuwa yeyote atakayeshinda awe Magufuli au Lowassa style Yao ya uongozi ni Moja .......

Wale wasanii NA wapigaji ...waliojiattache na watawala mwisho Sasa...Magufuli anaenda kum chengia Kikwete big tym NA HATA aje Lowassa rafik Yake ni kibanoooooo
 
Back
Top Bottom