Muonekano Unasaidia

Muonekano Unasaidia

Kitambi na manyama uzembe ni kiashiria za life style mbaya.Hakuna kitambi kizuri useme ni cha kishikaji.

Nimeona comment za waotesha vitambi humu....nikabaki kucheka tu.

Eti cha Ki-shkaji
 
wewe ni boya Kwa sababu unafanya mambo yako kwa ajiri ya mademu na sio afya yako
 
Mwanzoni nilikuwa na kitambi cha kishkaji (Kitambi cha Ki'Bank Teller). Nikaona nizame zangu Gym.

Kama kijana nimeona mabadiliko fulani fulani hivi tangu nianze mishe za kujiweka Fit ki mwili. Nimegundua pia Mabinti ni viumbe vya macho. Kadiri siku zinavyozidi kusonga naona idadi ya mabinti kunishangaa inaongezeka maradufu.

Tuondoe vitambi na nyama nyama zisizo na maana. bila hivyo Demigod atawasaidia kuwaburudisha warembo wenu.
Tuonyeshe picha zako za awali na za sasa tuone kama ni kweli.
 
Back
Top Bottom