long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,083
- 1,037
Lakini si hela yako nimekupa? Uliniambia nusu saa buku teni nimekulipa,unataka ns kilimanjaro nikupeleke? Basi rudisha msimbazi wangu.....Wanaume siku hizi mmekuaje lakini, kiukweli nimetoka kugegedwa muda huu lakini yaliyonikuta mpaka nimeanza kuwadharau wanaume siiwezi walaumu sana labda ni hili jua na vyuma kukaza kumewafanya wanaume wengi kua wachovu kitandani. mwanaume una muonekano mzuri, mtanashati, kifua kidhuri lakini mapenzi zero wanaume mtaibiwa sana msipobadilika
Siku njema