Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Kazi ipo? naona katuonyesha na hereni kabisa, Naskia hizo hereni hua zina maana zake! Lord have mercy on us..
 
Raymond Mdogo wangu toka Mbeya umekuja kuwaje! Namjua huyu dogo toka kitambo kabla hajafahamika na kweli dogo ni muimbaji mzuri ila hiki nini sasa

Wasanii wa bongo ifike muda wajue usanii sio lazima ubadilishe muonekano ili kuonekana wewe ni msanii, fanya Kazi usanii wako utaonekana tu. Watu kama kina Ben Pol wanawika na nadhifu pasipo Kuweka hayo maheleni

Halafu naona sasa hoop earrings ndiyo mtindo mpya kwa wasanii wetu ili waonekane wamekubuhu kumbe ndiyo wanaonekana machoko zaidi. Smh


Ben Pol anavaa heleni sana tu.

Wasanii wa bongo fleva wasiovaa heleni ni wa kuhesabu.

Siku hizi wanashindana kuvaa heleni. Mpaka Juma Nature kaanza kuvaa heleni siku hizi, hahahaa Juma kapoteza Nature.

Hovyoooo kabisa!

-Kaveli-
 
Duuuuh nimeona vigelegele nikadhani kuna mtu kaolewa...
Aiseeee
 
Hivi kwanini hili pepo la 'kushikishwa UKUTA' linakuja kwa kasi sana Africa?

Hawa madogo hizi style zao za kutafuta 'kiki' walahi mwishoe wataanza kuvaa cheni guu la kushoto.

-Kaveni-
 
Back
Top Bottom