tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,492
Hii ni barabara mpya four ways ya Sakina - Tengeru ambayo ndiyo iko katika hatua za mwisho mwisho kukamilika matengenezo yake katika Jiji la Arusha.
Kwa wale ambao walifika Arusha miaka michache iliyopita wakifika leo watapigwa na bumbuwazi kwa kutoamini maendeleo yaliyofanyika kujengwa kwa four ways Arusha.