Munishi: Chadema haiko tayari kuiacha nchi iendelee kuwa chini ya panya by 2015

Mbona huyo Munishi kafanana na Mbowe hivyo? Je wana undugu wowote? Embu nijuzeni jamani kwa sababu nimekua nikijiuliza sana hili swali.

Mwenye uwezo wa kujibu hili ni Mbowe mwenyewe ama mama yake huyo Munishi.

Mhh, wamefanana kweli kweli hata mie naona.
 
Sasa na jeshi nalo likija likasema halitakuwa tayari kuona nchi inauzwa na wanasiasa kama hawa wanaokuja na matamko tena wanayatoa wakiwa nchi za magharibi patakalika kweli? tusubiri tuone.
Kazi ya Jeshi ni kuwalinda watanzania na kwa hiyo wananchi wakiamua nani apewe nchi kupitia sanduku la kura wanajeshi hawana la kufanya. Wawe ni wanasiasa wanaotoa matamko wakiwa ughaibuni au hao wa ndani.
 
icon1.png
Re: Munishi: Chadema haiko tayari kuiacha nchi iendelee kuwa chini ya panya by 2015

quote_icon.png
By GeniusBrain
Naombeni mnisaidie hivi kuku wakuchora analiwa nyama? anabweka? anaweza kudonoa na kula ?


Kweli unahitaji Msaada maana hujui hata Kiumbe gani hubweka!!!






 
Naona naye anatafuta uhalali wa kuwa katibu mkuu wa bavicha mana akikaa mda mrefu bila kutoa tamko lolote anasahaulika.poa mdogo wa mwenyekiti wetu ila jina ndio umeamua kutumia lingine ili kuwa fool watanzania
 
Mnachokitafuta ni vigumu kufanikiwa. Mkishajua ni ndugu ama si ndugu mtafanya nini sasa?

information is power,hii itasaidia kuthibitisha kuwa ndani ya chama uongozi unatolewa kwa misingi ya udugu na ukabila na ukanda japo hivi viwili vya mwisho vipo wazi
 
Naona naye anatafuta uhalali wa kuwa katibu mkuu wa bavicha mana akikaa mda mrefu bila kutoa tamko lolote anasahaulika.poa mdogo wa mwenyekiti wetu ila jina ndio umeamua kutumia lingine ili kuwa fool watanzania

Mbona unampkazia dogo wa watu. Unaeza dhibitisha? Umewapima DNA? Can u bring us facts on this?
 
Kwa mwenendo wa matukio ya mkutano mkuu wa CCM mwezi uliopita, ni haki kauli hii ikatendewa haki na CDM. Kupotoka kwa CCM kuwatumia watumishi wa umma kwenye mikutano yao ya hadhara, ni halali kwa kauli hii kutendewa haki kwa kufanya Homework vizuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom