Munishi: Chadema haiko tayari kuiacha nchi iendelee kuwa chini ya panya by 2015

Kwa hiyo CHADEMA wamejiandaa kikamilifu ikiwa ni pamoja na kuwa na silaha za kupambana na CCM?

Kauli hii ina mengi ya kutafakari wakuu na pengine ni kiashiria cha hali halisi ya 2015. Ngoja nianze kutafuta passpot yangu na ndugu zangu mapema. Hali haitakuwa hali kwa maneno haya.
 
21.JPG

Munishi akiwa nakabidhi kadi ya uanachama kwa mwanachadema mpya nchini Uingereza hivi karibuni

29.JPG

Wenje na Munishi wakiwa na baadhi ya wanachama wa Chadema tawi la Uingereza.
 
Kazi za ukweli zinafanywa na watu wa ukweli kwa watu wa ukweli. Bravoo Wenje na Munishi kwa kazi nzuri Uingereza
 
21.JPG

Munishi akiwa nakabidhi kadi ya uanachama kwa mwanachadema mpya nchini Uingereza hivi karibuni

29.JPG

Wenje na Munishi wakiwa na baadhi ya wanachama wa Chadema tawi la Uingereza.

Hii imekaa njema na inatia moyo. Keep it up men.
 
Katibu Mkuu wa BAVICHA amesema kuwa kama vijana wa Chadema na chama kwa upana wake hawatakuwa tayari kuona serikali ya Tanzania inaendelea kuwa chini ya PANYA na October 2015 ndio mwisho wao.

Munishi alitoa kauli hiyo ijumaa ya wiki iliyopita jijini Londoni alipokuwa akizungumza na wanachadema Tawi la Uingereza ambapo pia aliongozana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje. Munishi alisisitiza wao kama vijana watabeba dhamana ya kuhakikisha hilo halitokei kamwe.

Source: Ukurasa wa wa kitabu uso wa Munishi.

My take;
Munishi alikua akimjibu Januari Makamba aliyesema CCM haitakubali serikali kuwa chini ya upinzani na pia kutumia neno.

Maana yake uchguzi mkuu 2015 hapatatosha

munishi kashaacha ujambazi kwani,maana faili lake chafu toka akiwa moshi
 
Katibu Mkuu wa BAVICHA amesema kuwa kama vijana wa Chadema na chama kwa upana wake hawatakuwa tayari kuona serikali ya Tanzania inaendelea kuwa chini ya PANYA na October 2015 ndio mwisho wao.

Munishi alitoa kauli hiyo ijumaa ya wiki iliyopita jijini Londoni alipokuwa akizungumza na wanachadema Tawi la Uingereza ambapo pia aliongozana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje. Munishi alisisitiza wao kama vijana watabeba dhamana ya kuhakikisha hilo halitokei kamwe.

Source: Ukurasa wa wa kitabu uso wa Munishi.

My take;
Munishi alikua akimjibu Januari Makamba aliyesema CCM haitakubali serikali kuwa chini ya upinzani na pia kutumia neno.

Maana yake uchguzi mkuu 2015 hapatatosha

Sasa na jeshi nalo likija likasema halitakuwa tayari kuona nchi inauzwa na wanasiasa kama hawa wanaokuja na matamko tena wanayatoa wakiwa nchi za magharibi patakalika kweli? tusubiri tuone.
 
Msema kweli yuko njiani na siyo mwingine zaidi ya 2015!

ccm ilizaliwa 1977
zika rasmi...... 2015

Itakufa na umri wa Zitto Kabwe kwa wakati huo, hii inatabiri nini? Kwamba ndoto zake za kuwa rais zitakufa nayo au yeye ndo atakuwa anachukua madaraka ya nchi kuendeleza ya rais aliyeko madarakani wa misho kwa chama hicho?
 
Katibu Mkuu wa BAVICHA amesema kuwa kama vijana wa Chadema na chama kwa upana wake hawatakuwa tayari kuona serikali ya Tanzania inaendelea kuwa chini ya PANYA na October 2015 ndio mwisho wao.

Munishi alitoa kauli hiyo ijumaa ya wiki iliyopita jijini Londoni alipokuwa akizungumza na wanachadema Tawi la Uingereza ambapo pia aliongozana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje. Munishi alisisitiza wao kama vijana watabeba dhamana ya kuhakikisha hilo halitokei kamwe.

Source: Ukurasa wa wa kitabu uso wa Munishi.

My take;
Munishi alikua akimjibu Januari Makamba aliyesema CCM haitakubali serikali kuwa chini ya upinzani na pia kutumia neno.

Maana yake uchguzi mkuu 2015 hapatatosha

matusi ndiyo sera yetu wa tz.
 
Kuna kitu nimekiona hapa, wiki iliyopita January Makamba alisema CCM haiko tayari kuicha dola 2015 na ndugu yake Mwigulu Nchemba alimvalisha mbwa bendera ya CHADEMA. Nona kauli hii ya munishi ni kujibu mapigo ya vijna hao wa CCM hasa kwa kutumia neno PANYA.

Kama CCM haiko tayari kuiachia dola 2015 na Chadema haiko tayari kuicha dola kuendela kuwa chini ya panya na wote hawa ni vijana , nini itakua mstakabali wa taifa 2015?

2015 NI KUCHAPANA MAKONDE TU. NO WAY OUT!!!!!!!!!!
 
Katibu Mkuu wa BAVICHA amesema kuwa kama vijana wa Chadema na chama kwa upana wake hawatakuwa tayari kuona serikali ya Tanzania inaendelea kuwa chini ya PANYA na October 2015 ndio mwisho wao.

Munishi alitoa kauli hiyo ijumaa ya wiki iliyopita jijini Londoni alipokuwa akizungumza na wanachadema Tawi la Uingereza ambapo pia aliongozana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje. Munishi alisisitiza wao kama vijana watabeba dhamana ya kuhakikisha hilo halitokei kamwe.

Source: Ukurasa wa wa kitabu uso wa Munishi.

My take;
Munishi alikua akimjibu Januari Makamba aliyesema CCM haitakubali serikali kuwa chini ya upinzani na pia kutumia neno.

Maana yake uchguzi mkuu 2015 hapatatosha

Kwa nini aende kusemea ughaibuni?
 
21.JPG

Munishi akiwa nakabidhi kadi ya uanachama kwa mwanachadema mpya nchini Uingereza hivi karibuni.

Mbona huyo Munishi kafanana na Mbowe hivyo? Je wana undugu wowote? Embu nijuzeni jamani kwa sababu nimekua nikijiuliza sana hili swali.
 
Kweli wamefanana. Umeniwahi na mimi nilitaka kuuliza
 
Back
Top Bottom