Masuala ya njaa yanaelezeka kibaiolojia. Lakini kabla hatujaiwaza njaa tuwaze huyu aliyetuumba mpka tukawa tunafunction namna hii yuko wapi? Alikuwa wapi? Aliketi wapi? Na alisimama wapi wakati anaumba yote yaliyopo ulimwenguni. Hilo ndio swali mku. Elewa swali.
Nakuomba kula shiba then ulaleee! vizuri kabisa.......sasa basi yuleee Mtu anaetembea yule! anafanya kila kitu! wakati wewe binafsi yako umelala!! ndo mwenyewe huyo!
ukiamka mara nyingi mnaziita ni ndoto tu!! usipuuze fanya jaribio hili kila siku!! utaja nishukuru!
Hujambo mkuu!! daaaa!! umepoteaaa! kwa nini lkn?? unajua niliwaza mbali sana.....hata ivo siamini km ni weye yule halisi kweli???...mwenye hoja moto moto!! asiye ogopa kitu?...siamini ngoja....!...
Make siku hizi bana Duniani hii haitabiriki...mara HIV, COVID, EBORA mwee! ajali ndo usiseme!........ sijui nikoje ilinichukua miaka mi 3.5 kuamini jiwe kavuta ujue heeee! nakuja...
Nilichoambiwa na wamisionari, Mungu yupo mahali popote, hana mwanzo wala mwisho. Sikutakiwa nihoji ikanibidi nipokee tu kama zuzu! Nashukuru kwa huu Uzi, hebu mjimwage na maoni yenu nami niondoe uzuzu wangu. Nasubiri ila Kiranga asiongee!
Mungu yupo mahali pote....kila sehemu yupo...Mungu hana physical locality..kusema utamkuta pale...hizo phyical characteristics zipo kwa viumbe...God is not bound by physical dimension nor time....yupo.kila sehemu...
Bora angewagawagawa kwenye sayari zingine tusingegombania madini na mafuta na wazungu.Tungekuwa salama.AU WANGETUFATA HUKO HUKO MARS MAANA WAZUNGU HAWANA MAANA.
Mungu yupo mahali pote....kila sehemu yupo...Mungu hana physical locality..kusema utamkuta pale...hizo phyical characteristics zipo kwa viumbe...God is not bound by physical dimension nor time....yupo.kila sehemu...