Mungu yuko wapi?

Mungu yuko wapi?

Mwanyuma

Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
58
Reaction score
89
Salaam wanabodi,

Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?

Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
 
Ngoja Waje
 
Mungu yupo Mkuu, unajua hii Dunia ikiitafakali Sana huenda usipate majibu ila Amini hivyo Mungu yupo na kwakulithibitisha hili hebu angalia jinsi tunavyopata usiku namchana.
Umeulizwa yukowapi... Au nawewe unasikia tuu kwamba yupo...

Eleza kabla ya kuwepo kwa ulimwengu na vitu vyote

Kabla ya kuwepo na sayari yeye alikua anaishi wapi na nini3 source yake!?

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Majibu ya mungu ni nan yuko wap yapopande mbili kisayansi na kiroho,kisayansi mpaka leo Wana UNANSWERED QUESTION y juu ya mungu na uwepo wake ila mungu yupo na ndie anaesababisha ucku na mchana,kiangazi masika,kucontro moyo oxygen in na carbon out,hvyo ukitafakari saaaaaaaana juu ya mungu utaishia kukufuru ila jua MUNGU YUPO
 
Kwa mujibu wa Biblia Matendo ya Mungu ni Makuu mno na hata huyo Mungu ni Mkuu mno hachunguziki kwa akili za mwanadamu. Pokea alichokupa na kukukirimia Neema yake ukifahamu. Hayo mengine mwachie mwenyewe lakini ni kama una amini Mungu yuko
 
Salaam wanabodi,

Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?

Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
1. Mola muumba yuko juu ya mbingu ya saba juu ya Arshi(hiki ndiyo kiumbe kikubwa zaidi kati ya viumbe alivyo viumba Mola wetu mlezi) yake chini ya Arshi kuna maji na juu ya Arshi kuna kiti cha enzi amestawi huko.

2. Dunia na ulimwengu ni katika viumbe vya mwishoni mwishoni kuumbwa na Mola ila kiumbe cha mwisho kabisa kuumbwa ni sisi wanadamu.

3. Kwa jinsi alivyo jielezea na alivyoelezewa na mitume wake ni kuwa amestawi huko ila hajajielezea kama ameketi kwa namna gani

4. Kuhusu sayari nyingine hakuna mahali katika vitabu vyake vinaonyesha hilo ila tunafahamu ya kuwa kuna viumbe ameumba ambavyo hatuvijui na vyenyewe viko katila uwili. Kwahiyo kama imethibitika kweli sayari zipo basi nazo zimeumbwa na Mola muumba.

5. Yeye ndiyo amejaalia uhai katika dunia, na si pengine. Kwa upande wangu mimi binafsi siamini kama kuna uhai katika sayari nyingine kama zipo lakini, na kama kungekuwa na uhai basi mitume wangetuambia.

Shukrani.
 
Salaam wanabodi,

Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?

Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
Ki ukweli kama haujui kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi na kama haujui baada ya kufa utaenda wapi basi yakupasa uamini kuwa Mungu yupo na kama maswali kama haya tu tunashindwa kuyajibu basi hata hayo maswali mengine hatutaweza kuyapatia majibu.

Cha muhimu amini kuwa Mungu yupo
 
Salaam wanabodi,

Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?

Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.

Kutoka 3:14​

Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
 
Salaam wanabodi,

Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?

Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
Akili iko wapi? Ukijua ilipo utajua na alipo Mungu
 
Salaam wanabodi,

Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?

Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
Kisai ameshakujibu maswali yako

kwa mujibu wa Qur'an ni maswali mepesi sana hayo kma alivoyajibu kisai hapo chini ndo mana sitaki kuongezea kitu ila Kisai ungeweka na reference ya Aya ingekua vizuri.zaidi najua unazijua izo aya m nashauri wawekee na aya la kma huzijui nambie nikueleweshe uedit kwenye andiko lko ilo ilo
 
Back
Top Bottom