Mungu wangu dunia inaenda wapi?

Huenda ni Nguvu ya Karma.

Mambo mengi ni Spritual expression
 
Nikiwaambia mioyo ya watu inahitaji kufanyiwa reform mnasema nimelogwa. Sasa mnashangaa nini kuona mtu mwenye moyo uliojaa chuki na hasira akimbonda mzazi?
Mt 5:8-10
Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu
 
Sioni kosa la Dogo hapo.

Jamii imejaa ukatiri, unyanyasaji, magomvi, machukozo, mateso na kutojali.

Huyo Dogo Moyo wa Upendo atautoa wapi?

Kifupi Dogo huyo ni Mhanga wa Social disruption na Intergrity deprived. Anahitaji kusaidiwa badala ya kuona mkosaji, he is a victim.

Chukulia mfano hizi mambo za kutekana, kuuana, kutobolewa macho unadhani ni sababu tu ya madaraka na pesa? No, its beyond
 
Nikiwaambia mioyo ya watu inahitaji kufanyiwa reform mnasema nimelogwa. Sasa mnashangaa nini kuona mtu mwenye moyo uliojaa chuki na hasira akimbonda mzazi?
Naomba utusamehe japo Mimi sijawahi kukwambia hivyo🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Mwenye makosa ni huyo mzazi ,amemzaa mwenyewe kwani alitegemea nn ? Acha apigwa shenzi type!
 
Ila tuache utani, kwasasa ukanda wa kaskazini una changamoto kubwa sana ya kimalezi. Kutakuja kuwa na kundi kubwa sana na watu wa hovyo mika 15 ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…