Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,101
- 24,350
Kuna ayat gani inayo zuia muisilamu asimuombee kafir apate wepesihatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Jr Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara shehe , je kama Mungu ni mmojana anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao? nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah , mtume muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
Alienda kuwapasha kwamba majini wanayoyafuga si lolote wala chochote mbele yake!hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Jr Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah , mtume muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?
yupo kuzimu. kwa waganga wa kienyeji, wasoma nyota, mashee wauz amajini na wachawi. alishamwacha Mungu sasaivi anajiona mtu, kuna siku yatamtokea puani. amelaaniwa amtumainiye mwanadamu, amfanyaye kuwa kinga yake NA MOYONI MWAKE AMEMWACHA BWANA. time will tell. Mungu akikuinua unatakiwa kuwa na adabu, ulikuwa kinyago uliyefeli shule, ukaanza kuzunguka kuhubiri, Mungu akakuonea huruma kwasababu ulikuwa sifui wa kijijini, ukapata cheo, ukaota kiburi na dharau, manyanyaso. ajikwezaye atashushwa, ajishushaye atakwezwa. uliinuliwa kwa neema, haukustahili kwasababu hata sahule ulifeli. Rudi kwa Mungu wako upone.hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Jr Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah , mtume muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?
Kafir baba yako na mama yako,Kuna ayat gani inayo zuia muisilamu asimuombee kafir apate wepesi
Eti....au khafir kumwongoza mwislam apate maendeleo?Kuna ayat gani inayo zuia muisilamu asimuombee kafir apate wepesi
Sasa mpendwa unapotea usijibu ubaya kwa ubaya.Kafir baba yako na mama yako,
Muda mwingine hasira zinazidi. Nitajitahidi kufanya hivyo. Asante kwa shauri jema! UBARIKIWESasa mpendwa unapotea usijibu ubaya kwa ubaya.
Jibu ubaya kwa wema umpate ndgyo usimpoteze!!