Mungu wa Israel ni mkuu

Mungu wa Israel ni mkuu

RMC

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
1,954
Reaction score
2,766
Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
 
Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje.
Yes hata Israel sera yake ni 1 state solution yaani kuimeza Palestine kuwa ndani ya Israel. So wote wana sera ya one state solution.
Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.
Of course Israel ina support magaidi wa Sudan yaani RSF, Kurds kule Syria na Turkey, na hata vilimsaidia HTS kupindua serikali ya Assad huku wakijua ni Tawi la Al Qaeda. Kwahiyo tuache unafiki, vinaitwa vikundi vya ugaidi pale tu vikifadhiliwa na Iran ila vinaitwa vyama vya ukombozi vikifadhiliwa na Israel!!!
Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.
Oooh Israel akiwa na nuclear huoni ni tishio kwa nchi za kiarabu maana zikimvamia si analipua nchi zote hizo za middle east zinayeyuka!! Ila wakitengeneza Iran ndio wanageuka tishio? Hivi nani anayeamua nani ana haki ya kuwa na nuclear na nani hana? Mbona Pakistan ilikua ikimtunza Osama miaka yote na kuna Taliban kule ila kwa kuwa ni marafiki wa USA na Israel basi wana haki ya kuwa na nuclear, ila siku wakikosana wanageuka magaidi!!
Mungu wa Israel ni mkuu na hashundwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.
Oooh kamtoa Assad alafu kaiweka tawi la Al Qaeda!!!? Ndio mafanikio gani hayo? Then huwezi jisifia kupambana na vikundi vya kigaidi ambavyo hata ndege havina. Ni nchi gani kabisa lenye jeshi wamepigana kama hivi Russia na Ukraine alafu Israel amempiga in recent years?

Hao houthi, Hezbollah, Hamas n.k wote hao amepigana nao kwa ushirikiano wa USA na UK and France hakuna vita hapo kapigana mwenyewe. Hata rocket za Iran zinakua intercepted na nchi zaidi ya 5!! Ila sio Iran vs Israel moja kwa moja, hivi unadhani Russia au China akiingia upande wa Iran itakuaje?
 
Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.
Israel inapewa msaada wa matrillion kila mwaka na USA so bajeti ya jeshi lake ni juu sana. Pia hakuna shambulizi kafanya bila support ya US na UK na Hao EU members wengine, so hii vita haijawahi kuwa ya Israel pekee kama mnavyopotosha humu.
 
Mungu wa Israel alimwambia Israel: 'akubarikie nitambariki na akulaaniye nitamlaani".
 
Nionyeshe huo mstari, nachojua hilo alisema kwa Abraham ambaye ni baba wa mataifa mengi sio Israel tu. Hata hao palestine sijui Iran ni offshoot ya Abraham!!
 
Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.

Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.

Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.

Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.

Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.

Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.

Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.

Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.

Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.

Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.

ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
hahahaaa
 
Yes hata Israel sera yake ni 1 state solution yaani kuimeza Palestine kuwa ndani ya Israel. So wote wana sera ya one state solution.

Of course Israel ina support magaidi wa Sudan yaani RSF, Kurds kule Syria na Turkey, na hata vilimsaidia HTS kupindua serikali ya Assad huku wakijua ni Tawi la Al Qaeda. Kwahiyo tuache unafiki, vinaitwa vikundi vya ugaidi pale tu vikifadhiliwa na Iran ila vinaitwa vyama vya ukombozi vikifadhiliwa na Israel!!!

Oooh Israel akiwa na nuclear huoni ni tishio kwa nchi za kiarabu maana zikimvamia si analipua nchi zote hizo za middle east zinayeyuka!! Ila wakitengeneza Iran ndio wanageuka tishio? Hivi nani anayeamua nani ana haki ya kuwa na nuclear na nani hana? Mbona Pakistan ilikua ikimtunza Osama miaka yote na kuna Taliban kule ila kwa kuwa ni marafiki wa USA na Israel basi wana haki ya kuwa na nuclear, ila siku wakikosana wanageuka magaidi!!

Oooh kamtoa Assad alafu kaiweka tawi la Al Qaeda!!!? Ndio mafanikio gani hayo? Then huwezi jisifia kupambana na vikundi vya kigaidi ambavyo hata ndege havina. Ni nchi gani kabisa lenye jeshi wamepigana kama hivi Russia na Ukraine alafu Israel amempiga in recent years?

Hao houthi, Hezbollah, Hamas n.k wote hao amepigana nao kwa ushirikiano wa USA na UK and France hakuna vita hapo kapigana mwenyewe. Hata rocket za Iran zinakua intercepted na nchi zaidi ya 5!! Ila sio Iran vs Israel moja kwa moja, hivi unadhani Russia au China akiingia upande wa Iran itakuaje?
Unadhani china na urusi wao hawagopi? Russia au china hawana uwezo wa ku battle na Israel ndio maana wanamkaushia Iran
 
Ayatollah ana hali mbaya sana. Mbaya sna. Si kidogo sana.
 
Nionyeshe huo mstari, nachojua hilo alisema kwa Abraham ambaye ni baba wa mataifa mengi sio Israel tu. Hata hao palestine sijui Iran ni offshoot ya Abraham!!
Huyo baba wa mataifa ni mtu wa taifa lipi kati ya hayo?

Halafu ukumbuke, Mungu anaposema, anayekubariki nitambariki, na anayekulaani nitamlaani

Maana yake ni kuwa, hakuna baba wa mataifa kama Kusingekuwa na huyo Ibrahimu ndani ya Israel

Na siju zote baraka huanzia nyumbani na kisha kuenea sehemu sehemu

Hao unsowataja, wanamlaani Ibrahimu aliye asili ya Israel na myahudi, watabarikiwa vipi mkuu
 
Unadhani china na urusi wao hawagopi? Russia au china hawana uwezo wa ku battle na Israel ndio maana wanamkaushia Iran
Issue sio kuogopa nachosema Israel hashambulii Iran au Houthis au Hezbollah akiwa peke yake. Hata rockers za Iran zinalipuliwa na nchi zaidi ya 5 ikiwemo Jordan ila Iran anapigana mwenyewe. Sasa hapaswi kusifia Israel, asifie mme wake yaani USA maana ndio anatoa pesa, silaha na back up kwenye kila vamizi ya Israel.
 
Yes hata Israel sera yake ni 1 state solution yaani kuimeza Palestine kuwa ndani ya Israel. So wote wana sera ya one state solution.

Of course Israel ina support magaidi wa Sudan yaani RSF, Kurds kule Syria na Turkey, na hata vilimsaidia HTS kupindua serikali ya Assad huku wakijua ni Tawi la Al Qaeda. Kwahiyo tuache unafiki, vinaitwa vikundi vya ugaidi pale tu vikifadhiliwa na Iran ila vinaitwa vyama vya ukombozi vikifadhiliwa na Israel!!!

Oooh Israel akiwa na nuclear huoni ni tishio kwa nchi za kiarabu maana zikimvamia si analipua nchi zote hizo za middle east zinayeyuka!! Ila wakitengeneza Iran ndio wanageuka tishio? Hivi nani anayeamua nani ana haki ya kuwa na nuclear na nani hana? Mbona Pakistan ilikua ikimtunza Osama miaka yote na kuna Taliban kule ila kwa kuwa ni marafiki wa USA na Israel basi wana haki ya kuwa na nuclear, ila siku wakikosana wanageuka magaidi!!

Oooh kamtoa Assad alafu kaiweka tawi la Al Qaeda!!!? Ndio mafanikio gani hayo? Then huwezi jisifia kupambana na vikundi vya kigaidi ambavyo hata ndege havina. Ni nchi gani kabisa lenye jeshi wamepigana kama hivi Russia na Ukraine alafu Israel amempiga in recent years?

Hao houthi, Hezbollah, Hamas n.k wote hao amepigana nao kwa ushirikiano wa USA na UK and France hakuna vita hapo kapigana mwenyewe. Hata rocket za Iran zinakua intercepted na nchi zaidi ya 5!! Ila sio Iran vs Israel moja kwa moja, hivi unadhani Russia au China akiingia upande wa Iran itakuaje?

Iran anachapika na Israel tu. Hakuna excuses. Madem wanaingia na ndege wanaenda piga makalio na vipumbu vya makobaz na kurudi kunyonyesha. Iran inapiga makombora hovyo hovyo tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Screenshot_2025-06-17-09-38-34-864_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-17-06-05-36-656_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-17-08-35-28-383_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-17-06-05-32-910_com.instagram.android.jpg

Screenshot_2025-06-17-06-05-16-030_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-17-05-42-35-595_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-17-05-48-00-929_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-17-05-14-49-844_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-17-05-14-22-609_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-16-22-29-57-513_com.instagram.android.jpg
 
JEHOVA kashikwa seem nyeti na Mungu wa Iran sasa itakuwaje!!!!!
 
Mungu wa Israel wapi wakati hiyo Bible wamejitungia wenyewe wakajipakulia minyama🤣🤣🤣
🤣🤣

Wamejitungia tena mkuu, kumbe katika kujitungia kuna nguvu ya kuamini utunzi?

Mbona sasa jamaa wanaonekana kutisha? Middle yote wanaichakaza watakavyo
 
wanamlaani Ibrahimu aliye asili ya Israel na myahudi,
Wapi imeandikwa Abraham alikua muisrael? Nachofahamu Israel inaanzia kwa yakobo kwenda mbele ila Abraham alimzaa mpaka Ishmael ambao wote humu mnafahamu ni mataifa mengine ya mashariki ya kati.

As a matter of fact Abraham alizaa watoto watano nje ya Isaka na wote hao walikua na mataifa hapo mashariki ya kati na wote hao wana baraka za Abraham.

Sielewi kwanini Israel inajimilikisha Abraham ambaye literally ni baba wa mataifa mengi.
 
Wayahudi hamna vitu kama hivi, tofauti na ayo ma shairi ? Ogopa mataperi kula vyuma vya muajemi ivyo
 
Back
Top Bottom