Mungu nisifikie kukata tamaa

Udhaifu kitu gani bhana, watu tumeolewa lkn kuna muda unakwama hd unaomba msaada nyumbani.
Mtoto kwa mzazi hakui.

Sent using Jamii Forums mobile app
nime survive miez miwili na hii hali last month hom walinipiga tafu n ghetto nna mali ambazo kuziacha ni ngum since mother house ni kivuruge na ana funguo inayofungua kila chumba cha nyumba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

 
Komaa machungu yakizidi utamu uko karibu
 
natamani kuuza vitu ila nilipata kiugum n nahis ntauza kwa hasara sababu ya hali yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
So nini ambacho unaona kitakufaa kwa sasa?

Kodi ya nyumba,
Nauli kurudi nyumbani
Hela ya umeme au ni nini?

Kodi ni kiasi gani na unadaiwa ya miezi mingapi?

Ushauri wangu:
Lipa kodi hata nusu tu alafu upate na kidogo ya kununua chakula ndani kisha ingia mtaani uhangaike, wakati huu usione aibu hata kupiga debe piga mradi unatafuta kwa halali. Kujifungia ndani na kusononeka sio suluhu mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…