Mungu nisifikie kukata tamaa

Pole hayo ni mapito ya kila mwanadamu,yanatofautiana ukubwa tu lakini ni kawaida ya kibinadamu,yawezekana kabisa Mungu anakuandaa kwa jambo jema zaidi,maana dhahabu iliobora mara zote ni ile iliopitia kwenye moto mkali...
 
itakua bring it on

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: a45
asante dada naul sina n hich kipind nime survive almoast miez miwili hapa akili ya kibinadamu imegoma namuomba mungu nisifikie ku give up

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…