Tokaa lini umeanza kunitukana mkuu?Nitachekaaa siku nitakaposikia umeokoka mkuu! 😂😂.
Maana wabishi kama nyie huwa mna change vibayaa!!!!!
Hahaha maombi yatasikiwa labda anaetakiwa kuyasikia kuna nta kwenye masikio yake ndio maana hasikiiHuku ni kujifariji kwa fisi. Kufikiri kuwa mkono wa binadamu unavyotikisika basi u karibu kidondoka.
😂😂😂😂😂Tokaa lini umeanza kunitukana mkuu?
We nichawa au mtu makini tuanzie hapa kwanzaMimi ni mgeni JF.Naomba mnipokee.