Ilikuwaje tena au umesoma historia ya Nyerere?Halafu kusema China na Japan "hazina dini" kunaonyesha hujui historia, zote zina dini na falsafa kama vile Ubudha, Ushinto, Utao na Ukonfyushasi.
Upo sahihi hizo ni DINI zao za asili Yao sio za mzungu wala muarabu wewe umeacha asili yako unafuata DINI za wazungu na waarabu.
Sijui kama ni Makatili au sio Makatili lakini kwa mambo yanaayoendelea hapa duniani huku akiwa anaangalia Tu, Uwezo wake unatia mashakaKosa kubwa ambalo hawa Wazungu na Waarabu walilifanya wakati wanatunga hizi stori zao ni kumpaka rangi MUNGU aonekane ni mkatili. Fungua vitabu vyao uone
Kwenye hivyo vitabu vyao, Mungu anaangamiza mauaji ya halaiki na huyo huyo anabariki.
Kwenye hivyo vitabu, Mungu anasema yeye ndiye anayeleta maafa na uovu (Isaya 45:7).
Kwenye hivyo vitabu, Mungu anamtuma pepo mchafu kutesa watu.
Walichokosea ni kumfanya Mungu aonekane mkatili na muangamizaji, wakimpa sifa ambazo ninyi mnasema ni za Shetani, kumbe ni wao ndio wamechanganya madesa.
Badala ya kumfanya MUNGU kuwa MWEMA kwa asilimia mia moja Mungu wa nuru, amani, na upendo usio na masharti wakachanganya roho ya kikatili ndani yake ili watutawale.
Wazungu na Waarabu walitengeneza movie ya kutisha. Wamemweka Mungu upande mmoja na kumpa kazi ya kutesa na kuangamiza watu, halafu wakamweka Shetani upande mwingine kama kisingizio.
Mungu aliyeandikwa kwenye Biblia yenu na Kurani yenu, ambaye mnamtetea ni mhusika aliyetungwa na wageni akiwa na sifa za kikatili.
Walipaswa kumuacha Mungu awe MWEMA pekee, lakini kwa sababu walikuwa na ajenda za kututawala, wakamtengeneza Mungu anayefanana na ukatili wao wa kikoloni na kibeberu.
Mungu yupo na ni mwema 100% Lakini sio huyo wa kwenyekaratasi zilizotungwa na wageni kuja kutuvuruga akili zetu!..
Hebu someni hivi vifungu vyenu muone jinsi walivyomdhalilisha Mungu na kumfanya kuwa muangamizaji.
Kutoka 32:27 Mungu anawaambia watu wauane, kaka amuue ndugu yake!
1 Samweli 15:3 Mungu anaamuru mpaka watoto wachanga na wanyama wauawe!
Kurani Inasema Nitatia hofu katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo, na wapigeni katika kila ncha ya vidole."
Hivi kweli? Huyu ndiye Mungu mnayemsujudia? Huyu ni Mungu au ni jenerali wa vita wa Kiarabu au Kizungu? Hapa ndipo walipochemsha! Wangemfanya MUNGU kuwa MWEMA pekee, Mungu ambaye ni nuru tupu, asiye na chembe ya ukatili, tusingekuwa hapa tunabishana leo.
Hivi vitabu vililetwa kututawala na kutuliza amani duniani kwa kutumia hofu. Wazungu na Waarabu walijua fika kuwa ili kumfanya binadamu awe mtumwa mnyenyekevu, ni lazima umtengenezee hofu ya kitu asichokiona.
Na hata ukimuona mwema haongezeki chochote so vyote havina faida kwake wala kwako, hata ukimuona mwema hakuna unachoongeza wewe na wala yeyeMungu hapungukiwi na chochote pale mtu anapoamua kutomuona mwema.
Wewe upo kwenye matrix baki hapo hapo akili iliyotumika na wazungu kuweka DINI kama chombo Cha kuteka fikra za watu ni kubwa mno kama akili yako ni ndogo huwezi kuelewa utaendelea kufata mkumbo tuIlikuwaje tena au umesoma historia ya Nyerere?
Umesoma hayo kitabu cha historia cha Nyerere?Wewe upo kwenye matrix baki hapo hapo akili iliyotumika na wazungu kuweka DINI kama chombo Cha kuteka fikra za watu ni kubwa mno kama akili yako ni ndogo huwezi kuelewa utaendelea kufata mkumbo tu
Kosa kubwa ambalo hawa Wazungu na Waarabu walilifanya wakati wanatunga hizi stori zao ni kumpaka rangi MUNGU aonekane ni mkatili. Fungua vitabu vyao uone
Kwenye hivyo vitabu vyao, Mungu anaangamiza mauaji ya halaiki na huyo huyo anabariki.
Kwenye hivyo vitabu, Mungu anasema yeye ndiye anayeleta maafa na uovu (Isaya 45:7).
Kwenye hivyo vitabu, Mungu anamtuma pepo mchafu kutesa watu.
Walichokosea ni kumfanya Mungu aonekane mkatili na muangamizaji, wakimpa sifa ambazo ninyi mnasema ni za Shetani, kumbe ni wao ndio wamechanganya madesa.
Badala ya kumfanya MUNGU kuwa MWEMA kwa asilimia mia moja Mungu wa nuru, amani, na upendo usio na masharti wakachanganya roho ya kikatili ndani yake ili watutawale.
Wazungu na Waarabu walitengeneza movie ya kutisha. Wamemweka Mungu upande mmoja na kumpa kazi ya kutesa na kuangamiza watu, halafu wakamweka Shetani upande mwingine kama kisingizio.
Mungu aliyeandikwa kwenye Biblia yenu na Kurani yenu, ambaye mnamtetea ni mhusika aliyetungwa na wageni akiwa na sifa za kikatili.
Walipaswa kumuacha Mungu awe MWEMA pekee, lakini kwa sababu walikuwa na ajenda za kututawala, wakamtengeneza Mungu anayefanana na ukatili wao wa kikoloni na kibeberu.
Mungu yupo na ni mwema 100% Lakini sio huyo wa kwenyekaratasi zilizotungwa na wageni kuja kutuvuruga akili zetu!..
Hebu someni hivi vifungu vyenu muone jinsi walivyomdhalilisha Mungu na kumfanya kuwa muangamizaji.
Kutoka 32:27 Mungu anawaambia watu wauane, kaka amuue ndugu yake!
1 Samweli 15:3 Mungu anaamuru mpaka watoto wachanga na wanyama wauawe!
Kurani Inasema Nitatia hofu katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo, na wapigeni katika kila ncha ya vidole."
Hivi kweli? Huyu ndiye Mungu mnayemsujudia? Huyu ni Mungu au ni jenerali wa vita wa Kiarabu au Kizungu? Hapa ndipo walipochemsha! Wangemfanya MUNGU kuwa MWEMA pekee, Mungu ambaye ni nuru tupu, asiye na chembe ya ukatili, tusingekuwa hapa tunabishana leo.
Hivi vitabu vililetwa kututawala na kutuliza amani duniani kwa kutumia hofu. Wazungu na Waarabu walijua fika kuwa ili kumfanya binadamu awe mtumwa mnyenyekevu, ni lazima umtengenezee hofu ya kitu asichokiona.
Kuliko hadithi Za muafrika?Hadithi za waarabu na wazungu zinawachanganya kweli watu weusi.
Yaani unaona bora kumwabudu mtu mweupe mzungu?Bora za kiafrika,hizi za hawa jamaa zimezidi! Mara sijui ukifa unapigwa na nyundo,mara unachomwa moto.
Mara kule unaambiwa uoe mke mmoja kule wanne wakati huohuo mpendwa wa Mungu alioa wake 1000! Yaani full vurugu.
Hujanielewa,nimesema Bora hadithi za kiafrika kuliko za hao wazungu na wenzao waarabuYaani unaona bora kumwabudu mtu mweupe mzungu?
God is good all the time
Sasa hadithi Za muafrika ndio hizo zinawafanya waafrika wamuabudu mzungu au hujaangalia clip hiyo huko South Afrika?Hujanielewa,nimesema Bora hadithi za kiafrika kuliko za hao wazungu na wenzao waarabu
Sieleweki au wewe hueleweki?Huyo haeleweki😁
Nimejibu kulingana na hoja za mada iliyopo,ambapo mtoa mada amezijengaSasa hadithi Za muafrika ndio hizo zinawafanya waafrika wamuabudu mzungu au hujaangalia clip hiyo huko South Afrika?
Hoja ulizoziweka zipo wazi kabisa sema watu wa dini zile kule wataukataza ubongo wao kukubaliana na ukweliHuyo haeleweki😁
Mimi nimejibu kwa mujibu wa ulivyojibuNimejibu kulingana na hoja za mada iliyopo,ambapo mtoa mada amezijenga