Angalia nafasi ya hiyo nyota ya maisha yetu jua katika hiyo galaxyHawezi kutoka nje ya sayari yake sababj haiwezekani na haitokuja kutokea.
Pili ni viumbe gani wenye akili kuliko binadamu ?
Huu kaka unaoleta ni utoto.Tizama hii ni picha ya Sayari ya nibiru yenye ufanano na Dunia na inamwonekano wa kuwa na uhai viumbeView attachment 806852
Mkuu jitahidi kutumia kichwa vizuri Mungu katupa akili tuzitumie usiendeshwe na mihemko ya dini tafta ukweli kwa kujifunzaHuu kaka unaoleta ni utoto.
sahangaa wewe sasa" "leo umeongea point shibe mnoooo""...Nani amekudanganya kuwa wanadamu tumependelewa?
Dunia hii ya mateso na shida ina upendeleo gani?
Naaam indeed "" unaongea vyema kabisa ""...Mkuu jitahidi kutumia kichwa vizuri Mungu katupa akili tuzitumie usiendeshwe na mihemko ya dini tafta ukweli kwa kujifunza
We unamjua kiranga akiuona uzi huu uwe tayari kuutetea hasaidiwi mtu humuWakuu ni jambo la heri kumtukuza MUNGU,alitoa upendeleo zaidi kwa wanadam kuliko viumbe wengine,lakini mara nyingi wanadam tunamkwaza kwa matendo yetu maovu. Mungu anao uwezo wa kufan ya lolote na kumaliza jeuri na kiburi cha binadamu pia kama maandiko yasemavyo katika Biblia-Takatifu,tujiulize na kutafakari kabla ya uumbaji wa ulimwengu na viumbe hai MUNGU aliumba na kuishi na nini,je anao uwezo wa kuangamiza ulimwengu mzima
Kama mumgu mwingi wa Rehema mbona kashindwa kusamehe shetani? Huoni hizo ni hadithiwasalaam,ni katika kukumbushana kuhusu Mungu anavyotusitiri ingawa twatenda maovu mengi sana. Maandiko katika Biblia Takatifu yatuasa ya kwamba shetani yu tayari kutubu akipewa nafasi hata sekunde moja bali kwa mwanadamu imekuwa ni vigumu kukiri na kumtumikia Bwana,ndipo tujiulize maksudi ya Mungu yanalenga nini kwa vizazi hivi vya wanadamu,walimwengu tumetawaliwa na tamaa za duniani hasa utajiri wa njia za mkato jambo amb alo ni chukizo kwa mwenyazi Mungu,ndipo tujiulize uumbaji wake alikusudia nin i kwa mwanadam au bila kutuumba wanadamu angepungukiwa nini, na kwa nini hao wazungu walitoa baadhi ya vitbu katika BIblia
Mungu hawezi kutusamehe makosa yetu maana hana hata tone la msamaha au kusamehe kwa sababu hata Adam na hawa hakuwasamehehata hivyo MUNGU atabaki kuwa Mungu mwenye mamlaka dhidi yetu na kila kiumbe,tujikite katika uhalisia tuachane na unadhiria yamkini Mungu atatusamehe makosa yetu
Mshana huwa nakukubali kwa comments zako ... ahsanteA soul...! Once created can never be destroyed
Mshana huwa nakukubali kwa comments zako ... ahsante
Nina mambo mengi sana siku hizi .. niko bize uongo mbaya.mbona unaonekana kwa kulenga siku hizi?
Naona wanaongelea yule wa 'm' ndogoInategemea na Mungu yupi has a mnaemuongelea hapa
Nani jehova?Naona wanaongelea yule wa 'm' ndogo
MuhammadNani jehova?
ha haha mmeanzaNani jehova?
Mwili na Roho Zote Mungu anawza Kuziangamiza.. Wachawi na Wengine ndo hawawez kuua RohoA soul...! Once created can never be destroyed
Jamaa analeta utani mwenye vitu serious..ha haha mmeanza