Mungu Mkuu na Mungu mwenye nguvu

Mungu Mkuu na Mungu mwenye nguvu

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
546
Reaction score
1,114
Tunakushukuru, tunakusifu, tunakuabudu na kukutukuza Mungu mkuu.

Tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye haki, uitazame kwa macho yako yenye huruma Nchi yetu Tanzania na Watanzania wote.

Tunakuomba kwa mateso ya wateule wako walio mstari wa mbele wa mapambano ya ukombozi wa kweli wa Nchi waliyoyapata na wanayoendelea kuyapata huko Mitaani, Magerezani na popote pale, mwaka huu usipite bila Tanzania kupata ukombozi wa kweli wa Nchi hii. Utatuma jeshi la malaika zako kuja kufutilia mbali udhalimu na uovu wa kila aina uliopo katika Nchi hii.

Amina.
 
Amina Mkuu
Baba wa mbinguni akasikie kilio chetu hiki na akatutendee miujiza ili RASLIMALI ALIZOTUJAALIA ZIWE KWA FAIDA YA WATU WA TZ BADALA YA WATAWALA NA WATU WAO WACHACHE
 
Tunakushukuru, tunakusifu, tunakuabudu na kukutukuza Mungu mkuu.

Tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye haki, uitazame kwa macho yako yenye huruma Nchi yetu Tanzania na Watanzania wote.

Tunakuomba kwa mateso ya wateule wako walio mstari wa mbele wa mapambano ya ukombozi wa kweli wa Nchi waliyoyapata na wanayoendelea kuyapata huko Mitaani, Magerezani na popote pale, mwaka huu usipite bila Tanzania kupata ukombozi wa kweli wa Nchi hii. Utatuma jeshi la malaika zako kuja kufutilia mbali udhalimu na uovu wa kila aina uliopo katika Nchi hii.

Amina.
Amina
 
Wale wenye kudhulumu haki za watu, wale wenye kupora rasilimali za nchi na kuwagawia waarabu kwa faida zao, Baba tunaomba neno lako likapate kutimia kama yule tajiri aliyesemea moyoni kuwa ana kila kitu, sasa atulie tu na kula starehe; lakini Bwana akamnenea, umpumbavu wewe maana usiku wa leo naihitaji roho yako.

Tunaomba walio wako wazidi kuukemea uovu, na mkono Wako wa ulinzi na neema, tunaomba ukawe juu yao dhidi ya wale wadhulumu haki, kwani WEWE ni Bwana wa haki, tangu kale na hata milele.
 
Ameeen! Mungu akubariki sana kwa sala nzuri ya kuikomboa nchi hii!
 
Wale wenye kudhulumu haki za watu, wale wenye kupora rasilimali za nchi na kuwagawia waarabu kwa faida zao, Baba tunaomba neno lako likapate kutimia kama yule tajiri aliyesemea moyoni kuwa ana kila kitu, sasa atulie tu na kula starehe; lakini Bwana akamnenea, umpumbavu wewe maana usiku wa leo naihitaji roho yako.

Tunaomba walio wako wazidi kuukemea uovu, na mkono Wako wa ulinzi na neema, tunaomba ukawe juu yao dhidi ya wale wadhulumu haki, kwani WEWE ni Bwana wa haki, tangu kale na hata milele.
Amina
 
Utakua upendeleo mkuu, M7, Lukashenko,Netanyahu wamewazidi hawa wa kwetu na wamekaa muda mrefu kweli.

Hili taifa twende hivihivi kwanza ili akili zitukae sawa
 
Back
Top Bottom