Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka

eliamyaniko

Member
Oct 26, 2015
33
4
Mungu mkubwa hatimaye lot ya 5 na 6 zimetoka na nimepata mkopo 88% jina la bwana lihimidiwe na hongera magufuli kwa kusikia kilio chetu
 
Duh! Hongera sana. Ndio utulie usome. Utumie boom vizuri lisikuchanganye ukachanganyikiwa na vistarehe vya hapa na pale ukasahau masomo... Other wise Mungu akutie nguvu katika kusoma kwako...
 
Usome kwa bidii sasa, sio kula bata na ujiandae kulipa ukianza kazi.
 
Lot ni za freshas ,,hapa ni kazi tu ni kupiga msuli mpaka kielewe na nikimaliza tunaurudisha mkopo wao na vizazi vingine vipate na vyenyewe ,huo ndiyo uzalendo kwa taifa langu tanzania
 
I hope waliostahili wote wamepata!!

Someni kwa bidii vijana achaneni na ulabu
 
Ndo utulie usome
 

Attachments

  • 1449584062360.jpg
    1449584062360.jpg
    15.1 KB · Views: 543
Back
Top Bottom