Mungu mkubwa hakuna Member wa JF anayetumia au kuuza drugs

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Hongereni sana na mzidi kuwa wema na makini hivyo hivyo kwani ningeshangaa sana kama kuna Member humu anatumia dawa za kulevya au Bangi na hata kunywa Gongo ila bahati nzuri wote tuko safe.

Kila Mtu ajipigie makofi hapo alipo tafadhali.
 
Unajuaje kaka, inawezekana kabisa kuwa Gwajima au Manji ni member humu kwa majina yao ya Bandia, siku wakisema wana JF watumie majina yao halisi basi member wa JF watapungua sana, na JF itakuwa kama facebook tu
 
IQ ndogo za Manji na Gwajima haziwezi kuwafanya waungane na Great Thinkers wa humu JF. Halafu isitoshe humu hakuna ' Sembe ' wala ' Waifu ' za Watu ambazo inasemekana ndizo ' Hobbies ' kubwa za Watajwa wako hao.
 
Kaka amini usiamini JF ni kichaka Kikubwa sana, kuna watu wakubwa wengi na wenye maijna yao ni member wa humu JF, Manji labda, lakini Gwajima yumo humu
 
Hamna mtu maarufu hapa Tz hayupo JF hiyo nakataa 95%! wamejiunga au wanachungulia

Kuna jamaa mmoja/kampuni kila siku wanatuhumiwa hapa jf kila siku, kuna siku nilimkuta yupo jf anaperuzi

Hapa jf inawatu wengi sana hata usio watarajia wewe
 
Hongereni sana na mzidi kuwa wema na makini hivyo hivyo kwani ningeshangaa sana kama kuna Member humu anatumia dawa za kulevya au Bangi na hata kunywa Gongo ila bahati nzuri wote tuko safe.

Kila Mtu ajipigie makofi hapo alipo tafadhali.
Wema, TID, chid, tunda, petit man, hawapo huku kwani mkuu..?
Me kuna nnaowajua wapo humu na ni wachangiaji wazuri sana..
 
Mkuu mleta mada umechemka, yaani umeifananisha Jf na group la whatsap la ulosoma nao Kakonko huko?

Jf Kuna watu wa kila aina,majambazi,vibaka,drug delears,makahaba,wahuni,wakurugenzi,makachero wa govt n.k.

Usiichukulie jf kikawaida mkuu

Lini utaenda kuonana na RC Makonda na ACP Sirro Central Mkuu kwani ID yako tu ' imeshajitosheleza '.
 
Back
Top Bottom