Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Chuki za Kichaga!Kwanini umeyaruhusu bwana, kwanini umeyaruhusu?
Yatusononeshe moyoni, bwana, kwanini umeyaruhusu?
Kwanini Mungu amekubali Magufuli awe rais ilihali anajua hatakimudu hicho cheo?
Bwana, kwanini umeyaruhusu?
Kwanini umeruhusu Magufuli atangazwe rais na sio Lowasa, kwanini umeyaruhusu?
Mungu, Tanzania inateseka, uhuru wa kujieleza unakufa, udikteta unashamiri, Mungu Kwanini umeyaruhusu?
Kwanini vijana wanateseka, ajira hazipo, uchumi umekwama, nchi inateseka, watesi wanashinda, Magufuli anashinda, nia njema inashindwa, baba, kwanini umeyaruhusu?
Baba unajua roho zetu, baba unajua tulivyoumia, baba fanya jambo.
NA MUNGU ULIYE JUU TUANDAE KWA YANAYOKUJA, BABA TUTAPAMBANA KAMA UKITAKA, TUTASHINDA KAMA UKITAKA, TUTASHINDWA UKITUACHA.
Kwani mkuu wa mkoa ndie Mungu?????Nenda ofisi za mkuu wa mkoa wa DSM ukamueleze moja kwa moja kuliko kuandika hapa.
Mie naona sasa wewe unaleta ukabila humu ? hebu acha upuuzi na upumbavu wa kwenu!Chuki za Kichaga!
Angalau nna uhakika Mungu hapendi watu wake wateseke.Hizi ni siasa tu. Acha kabisa kumtaja Mungu kwenye sala zako za kijinga. Wewe mwenyewe umechagua upande wa siasa halafu unakaa unaanza kujiaminisha kabisa kuwa Mungu naye amechagua upande wako wewe. Yaani wewe unajua kuwa mko naye! Bro kama sio upuuzi huo ni nini?
Ungeanza kumuuliza kwanza kwann aliruhusu wakoloni kututawala waafrika then ndo ungemuuliza kuhusu huyo unaemuuliza!Kwanini umeyaruhusu bwana, kwanini umeyaruhusu?
Yatusononeshe moyoni, bwana, kwanini umeyaruhusu?
Kwanini Mungu amekubali Magufuli awe rais ilihali anajua hatakimudu hicho cheo?
Bwana, kwanini umeyaruhusu?
Kwanini umeruhusu Magufuli atangazwe rais na sio Lowasa, kwanini umeyaruhusu?
Mungu, Tanzania inateseka, uhuru wa kujieleza unakufa, udikteta unashamiri, Mungu Kwanini umeyaruhusu?
Kwanini vijana wanateseka, ajira hazipo, uchumi umekwama, nchi inateseka, watesi wanashinda, Magufuli anashinda, nia njema inashindwa, baba, kwanini umeyaruhusu?
Baba unajua roho zetu, baba unajua tulivyoumia, baba fanya jambo.
NA MUNGU ULIYE JUU TUANDAE KWA YANAYOKUJA, BABA TUTAPAMBANA KAMA UKITAKA, TUTASHINDA KAMA UKITAKA, TUTASHINDWA UKITUACHA.
HahahahahahaKutoa chozi si mchezo Mkuu lionyeshe mkuu
Hiyo laana umepata wewe na wenzio ambao mmeletewa mtu wa kuwakomboa nyie hamtaki mnaanza kumlaumu na kumuuliza maswali ya kijinga yule aliye waleteeni mkombozi. Naona laana km waliyo ipata waisrael jangwani ikirudia kwenu. Wale walikuwa wanamlaumu Mussa kwanini Mungu amewatoa utumwani waende kuteseka jangwani wakati huo chakula kinashuka toka mbinguni wanakula bila kufanya kazi.Kama taifa tumepata laana ya kihalaiki kwa kumkubali Magufuli atuongoze
Viongozi wa dini watusogeze karibu na Mungu.Ungeanza kumuuliza kwanza kwann aliruhusu wakoloni kututawala waafrika then ndo ungemuuliza kuhusu huyo unaemuuliza!
Mungu hasaidiwi kazi anajua anachokifanya.
Nikuulize swali,
kama mambo yangekuwa kama unavyotaka ni lini ungemkumbuka Mungu?
Shida hutuleta karibu zaidi ya Mungu.
Acha huyo unaelalama kwann ameruhusiwa atusongeze Karibu zaidi na Mungu.
Endelea kuomba!
Nakupinga vibaya sana ! Utawala wa Tanzania haujashushwa na Mungu , ninao ushahidiMshaona Trump hasaidii sio! Mnaanza kumsumbua Mungu na mlishaandikiwa Tawala zote Duniani zimeshushwa
Ze Utamu blogger under arrest?
Naomba ushahidi kwamba tumeletewa mtu wa kutukomboa ( naomba hata ushahidi wa uongo kama unao )Hiyo laana umepata wewe na wenzio ambao mmeletewa mtu wa kuwakomboa nyie hamtaki mnaanza kumlaumu na kumuuliza maswali ya kijinga yule aliye waleteeni mkombozi. Naona laana km waliyo ipata waisrael jangwani ikirudia kwenu. Wale walikuwa wanamlaumu Mussa kwanini Mungu amewatoa utumwani waende kuteseka jangwani wakati huo chakula kinashuka toka mbinguni wanakula bila kufanya kazi.
Kwani wewe hujasikia habari za yule alietembelea Muhimbili kisha wagonjwa wanalala vitandani?Naomba ushahidi kwamba tumeletewa mtu wa kutukomboa ( naomba hata ushahidi wa uongo kama unao )
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]Tuombe tu maono na ndoto ya Lema itimie haraka sana