Mungu, kwanini umeyaruhusu haya?

Mungu, kwanini umeyaruhusu haya?

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,344
Reaction score
9,845
Kwanini umeyaruhusu bwana, kwanini umeyaruhusu?
Yatusononeshe moyoni, bwana, kwanini umeyaruhusu?

Kwanini Mungu amekubali Magufuli awe rais ilihali anajua hatakimudu hicho cheo?

Bwana, kwanini umeyaruhusu?
Kwanini umeruhusu Magufuli atangazwe rais na sio Lowasa, kwanini umeyaruhusu?

Mungu, Tanzania inateseka, uhuru wa kujieleza unakufa, udikteta unashamiri, Mungu Kwanini umeyaruhusu?

Kwanini vijana wanateseka, ajira hazipo, uchumi umekwama, nchi inateseka, watesi wanashinda, Magufuli anashinda, nia njema inashindwa, baba, kwanini umeyaruhusu?

Baba unajua roho zetu, baba unajua tulivyoumia, baba fanya jambo.
NA MUNGU ULIYE JUU TUANDAE KWA YANAYOKUJA, BABA TUTAPAMBANA KAMA UKITAKA, TUTASHINDA KAMA UKITAKA, TUTASHINDWA UKITUACHA.
 
Huyu Mungu anayeombwa ni yule Mungu wa TB Joshua na Gwajima. Na kamwe sio Mungu anayeishi aliyeumba mbingu na dunia.
 
Amen
Pana wakati MUNGU uruhusu mateso hili jina lake likapate kuimidiwa kumbuka hata wakati wa farao kule misiri MUNGU aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu mara dufu ili ukuu wake ukapate kudhiirika.
 
tushirikiane kukemea udikteta huu bila kujali dini wala kanda zetu
 
Mungu anamakusudi yake asingeweza kuruhusu kiongozi mwenye inda na roho ya ukatili namna
 
Ni MUNGU aliye mleta SHETANI ili mradi tupate MTIHANI...You better WORK hard to BECOME somebody.....but not a STUPID one....
 
Ni MUNGU aliye mleta SHETANI ili mradi tupate MTIHANI...You better WORK hard to BECOME somebody.....but not a STUPID one....
Am working hard n Magufuli isn't working that much but somehow he gets it
 
Hivi Mzee wa upako alivyosema waandishi wa habari waliomuandika vibaya wanatakufa, na huyu aliyeota ndoto kuhusu mkuu nani mwenye jinai ya uhakika?
 
Back
Top Bottom