Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

Pole Sana Kaka !muoe Huyo Dada Haraka Ili Uweze Kumhamishia Ktk Nyumba Yako Halafu Mfukuze Dada Yako!
 
Pole sana.Kukaa na dada ni lawama tupu ni bora ufanye mipango ya harusi bila kujali maneno anayosema dada yako juu ya huyo mchumba wako.Mon conseil
 
Mkuu some time inabidi ufanye maamuzi magumu
Nyumba ni yako na familia inayoangamia ni yako. Mungu alimlpenda sana Mkeo ndo amaana alimuondoa ila sio mwisho wa familia ambayo ilikuwa ishaanzishwa na Mkeo. Watoto wako na familia yako wewe ni ya thamani sana na miradi yako ambayo unayo wewe ni kwa ajili ya familia yako. Sasa kama ulimleta dada na hakusaidii lolote zaidi ya kukusaidia kutapanya hata kile unachokusanya bado mtoto wako anaishi kwa shida hujui kama hata elimu yake anazingatia dah mkuu fanya maamuzi magumu aise
Kama una mwenzako mlete home na mweleze wazi sister kuwa ushampata mtu wa kuiangalia nyumba yako wakati haupo na kumwangalia mwanao na atafute ustaarabu wa kupata sehem apangishe chumba chake na yeye ajitegemee hata kama ni kumpa msaada wa kodi just do that.
Biashara kuywa anasambaza sijui maneno mabaya dhidi ya wifi wake hilo lisikusumbue by the way wewe ndio muoaji bana sio yeye na kama ni mbaya wacha uje uone ubaya wake wewe sio mtu wa nje.
 
Nikimuondoa kwa sasa nani atabaki na nyumba sasa kiongozi?

Nadhani umesema kuna mtu unatarajia kumuoa, fanya taratibu za kumuoa huyo mwanadada halafu kwa ustaaabu tu muondoe dada yako.
Unajua kwa sasa huwezi kuona hatari inayokukabili wewe, mwanao anakosa matunzo ya mama ambayo ni muhimu sana kwa watoto wenye rika la chini.
 
Unangoja nini kuoa? Nenda bomani funga ndoa ya serikali ukitulia ndio ufunge ya kanisani.

Labda anasubiri apate milioni ishirini kwa ajili ya Ukumbi, Bia. Usafiri, Mapambo , Keki, Gari la Wakwe, Suti n.k
 
how old is your sister?dada yako anajua kabisa utakapooa hatapata mwanya tena wakufuja pesa nakupata pesa za bure yaani ile loop itakuwa totaly closed ndio sababu anafanya hivyo na anaweza ishi hapo kwako mpaka akazeekea hapo asiolewe ninavyowafahamu wanawake.na ukaoa akiwepo hapo nyumbani hao bata wawili mke mpya na dada yako watakupasua huo ubongo vipande vipande ,naongea kw uzoefu ni heri kufuga mabata 20 kuliko hao wanawake wawili,lakufnya ni kuwa huyo dada yako aondoke hapo nyumbani nakujitegemea mwongeze mtaji asonge mbele wewe sio mumewe.oa mke ila i worn yo kuwa kribu sana na mtoto wako muulize maswali kuhusu maisha yaani kuwa mre than father pindi utakapooa awe rafiki yako wa karibu,awe anakueleza yote anayofanyiwa na yanayojiri ukiwa haupo hapo.mwisho :kazana sana wanao wapate elimu bora watakufuta machozi baadae.

Sister ni mkubwa hata kwangu, anakimbilia 44 hivi......., nimekusoma kiongozi wangu, asante kwa ushauri
 
Daaah mkuu pole sana kwa yanayokukuta. kweli mama akiondoka nyumba huyumba. sijui hata nikushauri nini ila naelewa unachopitia,swala la muhimu ni kuchukua muda ili ufanye maamuzi sahihi. Niliachwa na kichanga pia, ni miaka zaid ya mitano sasa maisha yanaendelea ila bado huwa najiuliza swali hilo hilo. KWanini uliondoka mapema mke wangu?
Mungu awe upande wako ndugu.
 
Pole sana mkuu
 
Nilivyoona heading, nikakufikiria. Wewe ulisaidiwa na nani?
Daaah mkuu pole sana kwa yanayokukuta. kweli mama akiondoka nyumba huyumba. sijui hata nikushauri nini ila naelewa unachopitia,swala la muhimu ni kuchukua muda ili ufanye maamuzi sahihi. Niliachwa na kichanga pia, ni miaka zaid ya mitano sasa maisha yanaendelea ila bado huwa najiuliza swali hilo hilo. KWanini uliondoka mapema mke wangu?
Mungu awe upande wako ndugu.
 
Sister ni mkubwa hata kwangu, anakimbilia 44 hivi......., nimekusoma kiongozi wangu, asante kwa ushauri
Age is nothing but number kama hataki mwambie ahamie chumbani kwako awe mke.but remember make a good relationship with your relative ,use ur comonsense to deal with the matter.
 
Pole sana. Dada yako angekuwa mstarabu bila shaka usinge kimbilia kuoa. Mimi huruma kwa watoto tu. Mama wa kambo siyo mama. Mchunguze sana kabla ujaamua kufunga naye ndoa. La sivyo tutegemee watoto wa mitaani
 
Mkuu some time inabidi ufanye maamuzi magumu
Nyumba ni yako na familia inayoangamia ni yako. Mungu alimlpenda sana Mkeo ndo amaana alimuondoa ila sio mwisho wa familia ambayo ilikuwa ishaanzishwa na Mkeo. Watoto wako na familia yako wewe ni ya thamani sana na miradi yako ambayo unayo wewe ni kwa ajili ya familia yako. Sasa kama ulimleta dada na hakusaidii lolote zaidi ya kukusaidia kutapanya hata kile unachokusanya bado mtoto wako anaishi kwa shida hujui kama hata elimu yake anazingatia dah mkuu fanya maamuzi magumu aise
Kama una mwenzako mlete home na mweleze wazi sister kuwa ushampata mtu wa kuiangalia nyumba yako wakati haupo na kumwangalia mwanao na atafute ustaarabu wa kupata sehem apangishe chumba chake na yeye ajitegemee hata kama ni kumpa msaada wa kodi just do that.
Biashara kuywa anasambaza sijui maneno mabaya dhidi ya wifi wake hilo lisikusumbue by the way wewe ndio muoaji bana sio yeye na kama ni mbaya wacha uje uone ubaya wake wewe sio mtu wa nje.

Nashukuru kwa ushauri kiongozi wangu, ubarikiwe sana
 
Pole sana. Dada yako angekuwa mstarabu bila shaka usinge kimbilia kuoa. Mimi huruma kwa watoto tu. Mama wa kambo siyo mama. Mchunguze sana kabla ujaamua kufunga naye ndoa. La sivyo tutegemee watoto wa mitaani

Ni kweli kiongozi mama wa kambo akiwa na shida mambo huwa mabaya sana
 
Pole sana Lait noir, ninakusihi fukuza huyo dada yako, tafuta mwalimu wa awe anakuja kusimamia homework na kumpa tution mwanao! Hiyo hela dadako ananywea pombe inatosha kumpa mwalimu wa Tz. Tena tution haifiki hata 50,000 na kama atamsaidia masomo yote kulingana na grade aliofikia mwanao haifiki hata laki kwa mwezi. Watu wengine hata hawaoni uchungu wa kufiwa kaka. Mpyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu midada minunga yembe.
 
Bosi wa mipango ya maisha yako ni wewe mwenyewe wala sio mwingine hebu amua kama mwanaume fanya kile kitu unachoona ni right kaka.
 
Labda anasubiri apate milioni ishirini kwa ajili ya Ukumbi, Bia. Usafiri, Mapambo , Keki, Gari la Wakwe, Suti n.k

Ila on the other thought, umakini unatakiwa ktk kuoa hasa unapokuwa na watoto. Binti anaweza jifanya mzuri kabla hajaingizwa ndani; akishafika anakunjua makucha.

Alternatively ampeleke mtoto boarding nzuri mf East Africa Intl school (wanakuwa wachache with close supervision) ili tatizo moja la usimamizi wa shule ya mtoto lipungue wakati anajipanga. Halafu ujenzi, unafanya kipindi upo ukisafiri unasimamisha; bora ujenge kwa miaka 4 lkn sio kwa hasara.
 
Back
Top Bottom