Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

Mrudishe mdogo wako nyumbani kwenu ila kama anasoma endelea kumpa support akiwa huhohuko nyumbani, then chukuwa huyu mchumba wako weka ndani haraka iwezekanavyo, then fanya taratibu za ndoa ya aina yoyote ile unayotaka/mnayotaka kama ni kanisani, msikitini, serikalini nk.

Nimesema hivyo kwa sababu huyo mdogo wako atakusumbua bure na yeye hawezi kukaa hapo milele na pia sioni kwa nini ushindwe kumchukuwa huyu binti maana kama ni mahusiono yanaonesha yalikwisha anza siku nyingi, mkifunga ndoa mtatubu dhambi, na Mungu ni mwema atawasikia.

Pole kwa yaliyokupata mkuu, ndio maisha yetu sisi binadamu tukiwa hapa duniani.
 
Ila on the other thought, umakini unatakiwa ktk kuoa hasa unapokuwa na watoto. Binti anaweza jifanya mzuri kabla hajaingizwa ndani; akishafika anakunjua makucha.

Alternatively ampeleke mtoto boarding nzuri mf East Africa Intl school (wanakuwa wachache with close supervision) ili tatizo moja la usimamizi wa shule ya mtoto lipungue wakati anajipanga. Halafu ujenzi, unafanya kipindi upo ukisafiri unasimamisha; bora ujenge kwa miaka 4 lkn sio kwa hasara.

Binafsi sipendi sana boarding kwa watoto wadogo na pia huyo mwanangu anachukia sana boarding pia.
 
pole mwaya ndio mpango wa mungu ila watoto peleka bording kuna shule nzuri ambazo ninachukua kuanzia miaka 3 ni bora waweshuleni kuliko kukaa hapo. Huyo dada ako mtimue. Tafuta mtu wa kukuangalizia nyumba kama una servant kota akae nyumba kubwa ifunge pia fanya mpango wa kuoa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
sikushauri kabisa umpeleke mtoto wako bording kama kweli unampenda utaambulia shoga home bora tisa kuliko kumi nenda urudi
 
.....ninavyowafahamu wanawake.na ukaoa akiwepo hapo nyumbani hao bata wawili mke mpya na dada yako watakupasua huo ubongo vipande vipande ,naongea kw uzoefu ni heri kufuga mabata 20 kuliko hao wanawake wawili.....

bataaa, kumbe wanawake ni wachafu kulikoni bata. Thanx Nivea
 
bataaa, kumbe wanawake ni wachafu kulikoni bata. Thanx Nivea
sorry sijamaanisha uchafu hapa be wise a little bit ,hapo unamjumlisha na mama yako na dada zako pamoja na kitundu kilichokuleta duniani ,be little bit smatter ni mfano tu
 
Binafsi sipendi sana boarding kwa watoto wadogo na pia huyo mwanangu anachukia san Reply With Quotea boarding pia.
wanaopeleka boarding watoto ni sawa na wanaotelekeza barabarani......ndugu ukiwaendekeza watakuharibia wa kucheke !
Simama imara kama umeridhika na huyo dada muoe ....kuwaleta ndugu ndani ni tatizo wanaohitaji msaada wasaidia huko waliko!
 
fukuza huyo dada yako bora lawama kuliko kuishi na majonzi moyoni
bora aumie mtu mmoja kuliko roho 100 zipotee
pole sana kwa kupoteza mke jamani... ila sio vizuri kumtuma huyo mchumba wako kwa sasa tafuta ndugu mwingine akusaidie hadi muoane

Kwanini unasema sio vizuri kumtuma huyo mchumba wake amsaidie katika hayo anayoyafanya Smile..? Maana kwangu mie naona kama huyu mdada anajipambanua na kuipa mafuta ule usemi wa behind every successful man.....
 
Last edited by a moderator:
hebu simama kama mwanaume...nyie si ndo mnasema ni kichwa cha familia? Dada yako arudi alipotoka huyo binti aingie ndani wakati mnaendelea na mipango mingine....
 
Mwenyezi Mungu hana makosa. Haraka sana muondoe huyo dada yako. Akina dada kwa kaka zao ni hatari mno, ni waongo, wanafiki, wanapitisha maneno kupitia kwa mama na kumwendea baba, wagombanishi etc. Kama unakwako, timua huyo dada yako, ni nyoka kwako. Atakuvuruga at any expense brother.
 
Nimekusoma bro
 
hebu simama kama mwanaume...nyie si ndo mnasema ni kichwa cha familia? Dada yako arudi alipotoka huyo binti aingie ndani wakati mnaendelea na mipango mingine....

'Aksanti' kwa ushauri Badili Tabia
 
Da pole sana mkuu,nikifikiria mama wa kamBo nasikia uchungu,nikisikia shangazi ndo kaBsa mara chache sana huwa na uBinadamu japo hata mimi naitwa shangazi lakini ningetamani siku amBayo siko duniani mama yangu au mdogo wangu ndo angemtunza mwanangu kiukweli hao najua watakua nauchungu kama amBavyo mimi ningekua nao,kwa upande wakuoa. Nakushauri usifanye haraka kwani anaweza kupretend lakini ndo akishakua mke anaonyesha makucha yake, MuomBe Mungu akupe hekima na busara katika hili. Mungu anakufahamu na atakuongoza

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii forum
 
Mwambie dada yako akapange na umpe pesa kama mtaji wa biashara!
 
Da pole sana mkuu,nikifikiria mama wa kamBo nasikia uchungu,nikisikia shangazi ndo kaBsa mara chache sana huwa na uBinadamu japo hata mimi naitwa shangazi lakini ningetamani siku amBayo siko duniani mama yangu au mdogo wangu ndo angemtunza mwanangu kiukweli hao najua watakua nauchungu kama amBavyo mimi ningekua nao,kwa upande wakuoa. Nakushauri usifanye haraka kwani anaweza kupretend lakini ndo akishakua mke anaonyesha makucha yake, MuomBe Mungu akupe hekima na busara katika hili. Mungu anakufahamu na atakuongoza

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii forum

Kama ni ku pretend mtu si anaweza ku pretend hata miaka 10 ili aolewe, maana kweli ni sawa nisifanye haraka ila labda muda maalumu ni baada ya miaka mingapi hivi, na baada ya huo muda huyo nitakayetaka kumuoa hawezi na yeye ku pretend nimuoe alafu aoneshe makucha yake?
 
Pole sana, inauma sana kumpoteza mwenzi wako. Ila be very careful. Huu si muda wa ku rush into making decisions. You could find you have made a wrong decision which is hard to reverse. Ninaamini ulimuomba dada aishi na wewe na kutunza mwanao sababu ulikuwa na imani naye. Tafadhali kaeni vizuri muelewane. Get to the bottom of this issue. Akueleze ni nini kilochobadilika na ni kwa nini tabia zake sasa zinaenda kando. As you said huyu ni single wakati ana 44 years. Hii nayo inakuja na tabu zake psychologically na vinginevyo. Shauriana na wana familia usije uka ji alienate na ndugu zako. You will get an answer. Just be patient and prayerful. Usikurupuke kwani majuto ni mjukuu. Wish you the best.
 
hebu oa huyo binti fasta!
yaaaani fasta!
nini tatizo?
 
Back
Top Bottom