Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

Hivi vitu vinatisha aisee omba mungu akusaidie ili huyo mtarajiwa awe na upendo wa kweli kwa watoto wako
Maana haya maisha inauma sana watoto kuteseka ..na bado wana umri unaohitaji mapenzi ya wazazi
Mungu akuongoze ,Ila sister wako muondoe tu kama mtoto wako unasema amekuwa kama anajiongoza mwenyewe.
Ushauri binafsi Kwa sababu hali halisi ni ya wewe kusafiri na sister hamtunzi mwanao tafuta shule nzuri ya boarding angalau umpeleke,wakati unajipanga kuoa
all the best
 
Back
Top Bottom