Mungu (Jehova), baba yetu aliyembinguni amekataza kuchora tatoo katika Mambo ya Walawi 19:28

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,071
3,705
Hapo vip!

Ilikuwa sijui kama tatoo Mungu mwenye amekataza katika kitabu cha mambo ya walawi 19:28"msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu:mimi ndimi Bwana" mwisho wa kunukuu.

Amesema Bwamba mwenyewe.

Kwa hiyo mtumishi anayeshangilia tatoo,ajithamni
 
Wajuaji kama nyie huwa kwanza wanakuwa na maisha magumu,pili huishia motoni
Sasa Mambo ya Walawi yanakuhusu Nini wewe wa Kigamboni Tanzania au Kibiti.

Mambo ya Walawi ni yanayowahusu Walawi na Mungu wao ndio Alikuwa anawaandikia Hao. Kisheria Huna Kosa Lolote ukijichora Maana Hukuambiwa Wewe
 
Ujichore ili ugundue nini haswa ilihali hukujiumba wewe, je ungeumbwa ukiwa na michoro choro kila kona ya mwili si pia ungelalamika kwanini umeumbwa na ngozi kama Chatu?

Msiwe mnaiga iga kila kitu mtajikuta mmekuwa punda au mapunga.
 
Sasa Mambo ya Walawi yanakuhusu Nini wewe wa Kigamboni Tanzania au Kibiti.

Mambo ya Walawi ni yanayowahusu Walawi na Mungu wao ndio Alikuwa anawaandikia Hao. Kisheria Huna Kosa Lolote ukijichora Maana Hukuambiwa Wewe
"Huna Ulijualo "
 
Kisheria tena!! Kisheria inakuwa sio kwa mujibu wa Neno la Mungu bali kwa mujibu wa sheria za nchi husika.
 
Haya sasa

0_gameJPG.jpg
 
Wamasai wanajichora alama zao kwenye mashavu, bibilia haijafika kwao je wanakua wanakosa?

Wamamgati wanajichora alama za Chale mashavuni, ni tamaduni zao, je wanakosea?
 
Leviticus 19:28
“Do not cut your bodies for the dead or put tattoo marks on yourselves. I am the Lord.”
 
Back
Top Bottom