CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Dogo mmoja alikua anacheza na madogo wenzie jirani na kanisa.
Mara baada ya michezo yao ya kitoto kuisha akaanza kutafuta ndala zake ambazo alikua hakumbuki kaziweka wapi?
Punde kidogo akatokea padri na kumkuta dogo yule akilia.
Padri:mtoto mzuri unalia nini?
Dogo:nimepoteza ndala zangu.
Padri:basi mwachie mungu.
Dogo:ndala zenyewe ni ndogo hata mungu mwenyewe hazimtoshi!!!
Tehtehtehtehteh!:rockon: