Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

jibu lakusema yupo ama hayupo linatakiwa liwe limethibitishwa kwa kufanya chunguzi ulimwengu mzima sasa wewe mpk unasema hayupo umeshafanya hivyo...??

NB; sifungamani pande yoyote sijui kama yupo au hayupo!.
Hapana, si lazima kuhesabu namba zote ili kujua kuwa 1 ni ndogo kuliko 2.

Unachosema hapo ni kwamba, kabla sijahesabu namba zote, siwezi kujua kuwa 1 ni ndogo kuliko 2.

Kwa hiyo logic yako, hatuwezi kujua lolote kuhusu lolote, kwa sababu hakuna lolote ambalo tumelichunguza ulimwengu mzima.

In fact kuna sehemu ya ulimwengu ambayo hatuwezi hata kuichunguza due to the limit of the speed of light.
 
Mungu yup?
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
 
Kama hakuwasaidia hawa Ndugu zetu. Je, Mimi nina uspecial gani mpaka anisaidie?
 
Attachments

  • breaking_meli_ilivyozama_ikiwa_na_mamia_ya_watu_congo_shuhuda_aeleza_ilivyo_kwasasa_uokozi_h26...mp4
    5.1 MB
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Kama hana msaada, je akunyang'anywe uhai?
 
Hapana, si lazima kuhesabu namba zote ili kujua kuwa 1 ni ndogo kuliko 2.

Unachosema hapo ni kwamba, kabla sijahesabu namba zote, siwezi kujua kuwa 1 ni ndogo kuliko 2.

Kwa hiyo logic yako, hatuwezi kujua lolote kuhusu lolote, kwa sababu hakuna lolote ambalo tumelichunguza ulimwengu mzima.

In fact kuna sehemu ya ulimwengu ambayo hatuwezi hata kuichunguza due to the limit of the speed of light.
ukishasema hatuwezi kwanini uje najibu moja kwa moja kuwa hayupo..?

umekuwa ukiuliza sana kuhusu uthibitisho wake lkn nawe pia hujawahi kuthibitisha kuwa hayupo!
huwezi kusema maji hayapo kwenye chupa kama hujaichunguza chupa yote!..

watu mnaobishana kuhusu uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu nawaona kama wote tu hamnaga uhakika na majibu yenu coz hakuna alie prove jibu lake!!
 
Naam.

Kwa kuanzia, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye kaandikwa kwenye Biblia na Quran na vitabu vingine, huyu hayupo.

The problem of evil takes care of that, logically.

Na mwingine anayeitwa Mungu asiye na sifa hizo, si Mungu, kwa sababu ana mapungufu, na sifa ya kuwa Mungu ni kutokuwa na mapungufu.

Ukibisha na kusema Mungu yupo, thibitisha yupo.
 
Ili Mungu akusaidie ni lazima awe ni Mungu wako mkuu,ndio maana kwenye biblia anajitambulisha kwa mtu mmja kuwa mimi ni Mungu wa ibrahimu,isaka na yakobo.mfano kama Kuna tajiri mtaani hawezi kusaidia Kila mtu mwenye shida mtaani,ni lazima kuwepo na mahusiano flani,huwezi kusema kwa nini bakhersa ana Hela na hanisaidii ingali mimi ni masikini?kama wewe Mungu hakusaidii fahamu fika Kuna watu ambao wanasaidiwa na Mungu kwenye maisha yao kwa asilimia mia moja,tatizo kubwa ni kwamba hujataka kutengeneza mahusiano na Mungu kwanza.
 
Naam.

Kwa kuanzia, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye kaandikwa kwenye Biblia na Quran na vitabu vingine, huyu hayupo.

The problem of evil takes care of that, logically.

Na mwingine anayeitwa Mungu asiye na sifa hizo, si Mungu, kwa sababu ana mapungufu, na sifa ya kuwa Mungu ni kutokuwa na mapungufu.

Ukibisha na kusema Mungu yupo, thibitisha yupo.
kama utakuwa umeelewa komenti yangu hapo awali ni sifungamani pande yoyote hivyo sipo hapa kumjadili Mungu wa dini fulani,kabila ama ktk namna yoyote.

Nachokiangalia mimi ni nadharia ya Umungu na swala la uwepo wake ama kutokuwepo kwake!,kitu ambacho tayari unajua nipo upande gani kuhusu hili.

discussion ya kuhusu sifa za Mungu zitakuja kutoa utata atakapothibitika uwepo wake, siwezi thibitisha kitu ambacho sijui kipo ama hakipo.. wewe kwasababu ni muumini unaesema moja kwa moja "Hayupo" basi unatakiwa uthibitishe hilo!.

kwanini unafikiri wanaolazimika kuthibitisha ni wanaosema yupo,kipi kinaua mantiki ya wewe kutothibitisha ya kuwa hayupo..?
 
Kwanza umekubali kwamba si lazima kuchunguza ulimwengu wote ili kujua kuwa jambo fulani ni sahihi au si sahihi?

1. Nimeeleza Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, na sababu yake.

2. Nimeeleza kuwa wengine wote pembeni ya huyo si Mungu. Na sababu nimetoa.

3. Nimekupa nafasi kuthibitisha kuwa Mungu yeyote yupo. Umeshindwa.

Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yeyote yupo, kwa sababu hayupo.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
usichoelewa ni kipi nimeandika sijui kuhusu yupo au hayupo sasa! wewe si wasema Mungu yoyote hayupo so wewe unaesema hayupo ndio nakuuliza umefanya tafiti ulimwengu kote mpk uje najibu lakusema hayupo..??

kama hujafanya tafiti basi nawe jibu lako si la hakika.
 
Kwa nini ni lazima nifanye tafiti ulimwengu wote ili kujua jambo fulani ni kweli au si kweli?

Wewe umefanya utafiti ulimwengu wote kujua kuwa upo? Unahitaji kufanya utafiti ulimwengu wote ili kujua kuwa upo?

Unahitaji kuhesabu namba zote ili kujua kuwa 1 ni ndogo kuliko 2?

Mimi nakuambia kuwa, katika hesabu, 1 ni ndogo kuliko 2.

Wewe unaniuliza, nimejuaje 1 ni ndogo kuliko 2, kwani nimehesabu namba zote?

Sihitaji kuhesabu namba zote ili kujua kuwa 1 ni ndogo kuliko 2.

Ukitaka tafiti za kuchunguza ulimwengu wote kwanza kabla ya kujua kitu, basi hatuwezi kujua lolote, hata wewe huwezi kujua kama upo, kwa sababu hujafanya utafiti ulimwengu mzima kujua kama upo au haupo.

Unaelewa hilo?
 
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Kwa sababu umemkataa yeye, naye amekukataa.
.
Kumbuka hata huo uhai ulionao ni mali yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom