Mungu hakosolewi

Mungu hakosolewi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,108
1426358504302.jpg
 
1.Ni ke au me?
2.Alizaliwa hivyo*2
3.Au aliongeza ndio matokeo yake?
4.Au aliungua?
 
Hapana hakujiamini! Aliona pa Mungu pamekosewa akatafuta mabingwa wakamuedit
Ni kweli kabisa ila wanaume husababisha ke wafanye mambo ya ajabu,mfano akipita mwenye mzigo kama ni dereva atasababisha hadi foleni,sasa kama umepigwa pasi na confidence zero ndio mawazo hayo yanakujia
 
CC: Honey Faith truly confident woman heshima sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom